chollodehutch
Senior Member
- Jun 29, 2016
- 159
- 192
Habar wadau wa JF.. Natumain wkiend imeendaa poaa ya sartdy... Shdaa yang n kwamba nime install pes game kwny pc yang lakn cha ajabu game limekataa ku run on window 7 nkifungua inanambia... XINPUT1_3dill is missing on your window please un stall progress to solve the problem?... Nshahangaika sana lakn sijapata mafanikio ya aina yyte mpk natoka jasho la meno.. Nawasilisha