Jinsi gani ya kuconfigure Line ya Airtel ili kutumia na Modem kwenye laptop?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,100
34,050
Habarini Wadau,

Ni laptop mpya, na hii line nikiiweka kwenye simu natumia internet vizuri tu ila nahitaji kujuzwa namna ya kuconnect kwenye laptop kupitia Modem.

Hapa kwenye configuration ya Modem ya D-LINK kwenye Profile Management kuna

APN number na vitu vingine

Nikiconnect naambiwa Dial Up failed.

Nifanyaje ili kuconnect Wadau?
 
dial up number weka *99#
apn name weka internet
proxy weka 127.0.0.1 au acha wazi
port weka 80 au acha wazi
 
Nenda kwenye my computer baada ya kuchomeka hyo modem then tafuta cd drive ambayo ina ru hiyo modem then jaribu kuopen kwa kurun as admistrator the itainstall hiyo shortcut ya modem yako
 
Back
Top Bottom