Njia rahisi ya kupakua movies, softwares na games

Kaliro X

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
749
440
Habari zenu wakuu? mimi ni mwanaJF mkongwe japo kwa muda mrefu kidogo nilikuwa busy kidogo na kitabu, now I'm back. nafurahi kuona JF imekuwa improved kuanzia kwenye templates, page zinaload faster, idadi ya members imekuwa huge hadi interactioions inanoga, nk.. congrats to JFstaff team.. keep it up!

Lengo kuu la uzi huu ni kutaka kushea kwa ufupi sana nanyi kuhusu mambo kadhaa yanayohusu files downloading (especially softwares games, and movies). Najua wengi wenu mnatumia mbinu mbalimbali kufanikisha hilo unfortunately wengine mnalazimika kulipia alot of money kama sio kumaliza MBs kibao pasipo kutimiza lengo ulilokusudia.

Kuna njia kuu mbili ambazo wengi huwa tunazitumia kudownload files kwenye mtandao:
1. Direct downloads
2. By using torrent clients

1. DIRECT DOWNLOADS
Hapa mhusika hulazimika kuingia kwenye tovuti fulani ili kuweza kudownload software husika. mf. pcmag.com, brothersoft.com and so on but most of them ni lazima ulipie ndipo upate hiyo software kwaajili ya matumizi yako..
fortunately zipo tovuti ambazo hutoa fursa ya kupakua files ambazo ni cracked na zina license keys mojawapo kati ya hizo ni ONhax.NET, sina lengo la kuipromote and I'm not an affiliate to that website but I find it useful, since unaweza kudownload softwares na games mbalimbali moja kwa moja na luckly enough hizo softwares ni cracked, ie you dont need to pay in order to use those softwares.. katika njia hii IDM Internet Download Manager is useful..

2. BY USING TORRENT CLIENTS
Hii ni njia ya pili ambayo haina watumiaji wengi sana kwasababu inahitaji ufundi kidogo.. nina imani tayari kuna tutorials zimewekwa humu kuelezea how it works, but nitajaribu kuja na tutorials nyinginezo zilizo simple zaidi(acha comment yako apo chini kama utapenda.)

kwa ufupi ni kwamba ili uweze kushusha files mbalimbali iwe ni movies, softwares, games, apps and so on lazima uwe na vitu viwili, kwanza torrent client software kama vile uTorrent, Vuze n.k hii utaiinstall katika kompyuta yako. kitu cha pili ni Torrents search engines, hizi ni websites ambazo zinakuwezesha kutafuta torrent files ambazo baadae huja kuwa intergated kwenye torrent software ili zishushwe. utaweza kuziaccess hizo engenes kupitia web browser yako, mfano ni kas.tr, torrentz.eu nk. baada ya kusearch na kuipata software(in form of torrent) chagua open with uTorrent litaanza kushushwa kupitia torrent software uliyonayo. rahisi eh?
ok! nasubiri comments, tuendeleze mjadala.

Nawasilisha
Kaliro X

thanks.gif

UPDATES>>
uzi uko vizuri
lakini ningependa kuacha website ambayo wale wadau wa magemu watapenda kudownload games mpya
Index of /Download/2013/November/Game/PC/
Index of /Download/2014/January/Game/PC/
Index of /game/

download.ir au www.download.ir au vifananiavyo niliwahi itumia hio site ni url yake ndio password

Kaka, utorrent itakusumbua. Tumia software ya FDM waweza download hapa FileHippo.com - Download Free Software

Hyo software inakuwezesha kudownlad torrent files bila kutumia software ya utorrent

Unachotakiwa kufanya ni hiki
1)install FDM
2)nenda ktk torrent site kama kat.cr au piratebay.se
3)search unachokitaka kisha kikifungua kuna option huwa zinakuja za either "get torrent file" au "download torrent" au "magnetic link"
4)nenda ktk magnetic link, right click kisha chagua open/download with free download manager
5)itafungua moja kwa moja kwenye FDM na itaanza kudownload very fast

Mkuu unaposema una torrent unamaanisha nini? Inabidi uwe na torrent client kama vuze n.k
Kisha fungua torrent site mfano: "kat.ph" then search series unayotaka zitakuja link nyingi chagua mojawapo,mara nying zenye seeder wengi ndio nzuri, alafu.....
Au kama vip nenda YouTube kuna video nyingi zinazoonyesha jinsi ya kufanya hii kitu.
 
Mkuu napenda sana movies hasa za kimarekani series lakini...nina torrent lkn sijui kuitumia. Tfadhali nipe maelekezo yakutosha niwe nakula movie asee jamaa angu.
 
mkuu napenda sana movies hasa za kimarekani series lakini...nina torrent lkn sijui kuitumia..tafadhali nipe maelekezo yakutosha niwe nakula movie asee jamaa angu
Mkuu unaposema una torrent unamaanisha nini? Inabidi uwe na torrent client kama vuze n.k

Kisha fungua torrent site mfano: "kat.ph" then search series unayotaka zitakuja link nyingi chagua mojawapo,mara nying zenye seeder wengi ndio nzuri, alafu. Au kama vip nenda YouTube kuna video nyingi zinazoonyesha jinsi ya kufanya hii kitu.
 
Mimi ninayo hiyo u torrent installed kwenye pc yangu. Cha ajabu inanishinda kuitumia maana nikitafuta file la kudownload silipati linaloweza kufunguliwa na software hiyo. Kuna jamaa aliniwekea na nikafanikiwa kudownload software moja iliyokuwa na ukubwa wa takribani 3.7gb baada ya hapo kila nikitaka kuitumia nashindwa yaani namna ya kuunga website yenye file la kudownload na hiyo torrent. Msaada please maana nahangaika sana kupata ms project
 
Kwa wale wapenda series, Njia rahisi and very fast pia kudownload muvi au series kwa kutumia IDM au free download manager FDM (torrent iko too slow)

Kwenye PC yako install FDM au IDM na set as default downloader.

Nenda ktk browser yako na fungua eztv.ag then click show list. Hapo zitakuja list za series zooote. Tafuta uipendayo ifungue utakuta episodes zote hapo, file size, seeds and leechers. Also utaona different mirrors za kudownload, click yyte na itafungua automatically kwenye IDM au FDM.
 
Mimi ninayo hiyo u torrent installed kwenye pc yangu. Cha ajabu inanishinda kuitumia maana nikitafuta file la kudownload silipati linaloweza kufunguliwa na software hiyo. Kuna jamaa aliniwekea na nikafanikiwa kudownload software moja iliyokuwa na ukubwa wa takribani 3.7gb baada ya hapo kila nikitaka kuitumia nashindwa yaani namna ya kuunga website yenye file la kudownload na hiyo torrent. Msaada please maana nahangaika sana kupata ms project
Kaka, utorrent itakusumbua. Tumia software ya FDM waweza download hapa FileHippo.com - Download Free Software

Hyo software inakuwezesha kudownlad torrent files bila kutumia software ya utorrent

Unachotakiwa kufanya ni hiki:

1) Install FDM
2) Nenda ktk torrent site kama kat.cr au piratebay.se
3) Search unachokitaka kisha kikifungua kuna option huwa zinakuja za either "get torrent file" au "download torrent" au "magnetic link"
4) Nenda ktk magnetic link, right click kisha chagua open/download with free download manager
5) Itafungua moja kwa moja kwenye FDM na itaanza kudownload very fast
 
Kaka, utorrent itakusumbua. Tumia software ya FDM waweza download hapa FileHippo.com - Download Free Software

Hyo software inakuwezesha kudownlad torrent files bila kutumia software ya utorrent

Unachotakiwa kufanya ni hiki
1)install FDM
2)nenda ktk torrent site kama kat.cr au piratebay.se
3)search unachokitaka kisha kikifungua kuna option huwa zinakuja za either "get torrent file" au "download torrent" au "magnetic link"
4)nenda ktk magnetic link, right click kisha chagua open/download with free download manager
5)itafungua moja kwa moja kwenye FDM na itaanza kudownload very fast
Nashukuru mkuu, niko nje ya nchi nikirudi nitajaribu, nikishindwa ntaomba msaada tena, huku nilipo vitu vingi restricted sana kama kisiwani vile wakati taifa kubwa!
 
Hivi hizi website zenye torrents ziko safe kiasi gani? Mfano piratebay na kap? Risk za virus na malwares/spyware ziko aje? Huwa natamani kudownload vitu lakini naogopa coz nahifadhi vitu vingi sana ktk pc yangu nsike vipoteza
 
Back
Top Bottom