Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tujaribu kukimbizana na Dunia nahitaji kuwa hacker naomba uzi huu utumike kunifundisha ili niwe hacker,kwa kuanza nataka nianze kwa kuwa simple hacker nahack vitu vidogo vidogo kama account ya mtu...
1 Reactions
52 Replies
12K Views
Habari wana JF! Niende moja kwa moja katika lengo. Hub of innovation ni moja ya vitu muhimu sana ambavyo nchi yetu bado ipo nyuma kwa uwepo wa center hzo. Lengo la uzi huu ni kwamba, nimepata...
1 Reactions
4 Replies
903 Views
kwa anayefahamu naomba mnielekeze ninaingiza vipi subtitles zangu mwenyewe kwenye video? asanteni sana
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Radio tajwa hapo juu Sea piano inasoma H1 F1 sipati station yoyote. Miye natumia kwa ajili ya magezeti asubuhi. Msaada nawezaje kutoa hiyo H1 F1.
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Msaaada kwa yeyote anayejua sababu za kupotea kwa memory storage space kwenye simu baada ya ku flash... Aeleze apo na jinsi gan naweza kufanya recovery
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari ndg zng, Naomba kusaidiwa app ambayo inatafsiri kwa lugha ya kiingereza kwa mtindo wa subtitles wakati naangalia movies. Naomba anayefahamu anijuze maana mimi nimetafuta sijaipata. Msaada...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu habari za mida hii,nina system ya Bulk Sms Sender ambayo inamrahisishia user au business man kutuma msg kwa customers au staff wote,so nahitaji API provider kama yupo tuwasiliane please.
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Nickon camera 3000D inauzwa iko katika hali nzuri, imetumika wiki moja tu.... Specifications zake na picha apoo chini unaweza kucheki... Bei ni Laki7 kamili, Bei inapungua kwa alie serious...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
kwa wale watalaam wa ku-hack website na database naitaji msaada wenu, nahisi kuna mtu ananidokolea data zangu kupitia utaalam wa kimtandao, kwa yeyote ambae atakua tayari kunipa msaada na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kizuri kula na wenzako. Kama mnavyojua hivi sasa matumizi ya Adsense network yamekuwa ya shida kwa publishers hasa walio na traffic ndogo sana katika site zao au blog zao. Mitandao kama...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Habari jf Katika changamoto za baishara nikaona sio mbaya sana kuendana na ulimwengu wa technology, nahitaji wa kunitengenezea au kunisaidai kuweza kumiliki web application itakayo niunganisha mm...
0 Reactions
6 Replies
809 Views
hello guys. kila nikitaka kuingia watsap inaniambia your phone date is inaccurate. adjust clock and try again. nimejaribu kufanya yote lkn bado ipo vile vile, naomben ushaur nifanye nn ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1-Freedom v1.2.8 Apk Google Play in-App Purchase.rar features: -Deleting excessive ads in apps -Make in-app-purchases for free E.T.C 2-Antivirus Pro Android Security ( Avg Antivirus ) V5.4.1.1...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Msaada jamani nahitaji app ya kuangalia local channels hasa za azam na ipp
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Nina tecno H5 kwa sasa ina stack hovyo hovyo. Sasa nawezaje kuiroot ili niingize Os mpya. Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Pc yangu aina Toshiba model ya zaman kidgo,imelata hitilafu wakuu ni kam screen ake imepasuka ndani upande mmoja kias flani so haidisplay huko,na haioneshi kitu kabsa yani inanipa shida sana wakuu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Msaada kwenye tuta wadau nataka kucrack modem yangu isupport any lines. Mwenye hii kitu msaada plse
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamii!! Nimekaa na Lumia 535 dual kwa kama mwaka mmoja na nusu nikifurahia W8.1 Denim hadi W10. Ila sasa naona muda wa mabadiliko ndio umewadia na sijaona bado sababu ya kurudi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Yeyote anayenishauri ninunue Samsung J3 sasahivi au nisubiri za 2017,??
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…