Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,162
- 6,307
Pc yangu aina Toshiba model ya zaman kidgo,imelata hitilafu wakuu ni kam screen ake imepasuka ndani upande mmoja kias flani so haidisplay huko,na haioneshi kitu kabsa yani inanipa shida sana wakuu nafkiria kuitengeneza sijajua gharama zake? Pia nataka kujua kama naweza fanya lolote kwani inanisumbua make saiv siwezi kuiswitch off kwa sabu natumia window 8 na upande wa settings ni kulia ambako ndo kuna tatzo hilo,naipenda san pc yangu na inanisaidia kusoma kipind hiki tumefungua chuo na nina kazi ya kuandika ripoti msaada wa haraka ndugu wakuu wataalamu mnielekeze hatua za kufanya.
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]
Pich hapa kam ilivyo.
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]
Pich hapa kam ilivyo.