Samsung J3

Samsung J3

Elvicepride

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
243
Reaction score
65
Kuna Yeyote anayenishauri ninunue Samsung J3 sasahivi au nisubiri za 2017,??
 
mkuu j3 zina cortex A7 sikushauri kuzinunua Kabisa, na bei yake haina tofauti na j5.
 
j5 ni nzuri zaidi kwa price range ya 300,000 hadi 400,000. ukipata ya 2016 ni nzuri zaidi ila kuwa makini zipo j5 zisizo na 4g.

Poa nimekuelewa Bruh itabidi niingie kwenye official store maana watu hawaaminiki
 
Mfano tatizo nini ubora au bei yake kubwa na mimi nataka kununua hiyo j3
processor yake ni 32bit wakati j5 ni 64bit, halafu bei yake ni sawa na j5.

kama unataka tu kutuma msg whatsapp na mambo madogo pengine hutaona tofauti, ila kama unaplan ya kucheza game, au kufanya jambo lolote kubwa j5 ni nzur zaidi
 
Mkuu Nina Samsung j7 ila sikuhizi inaonesha ads kibao nafanyaje kuziondoa ads
 
j5 ni nzuri zaidi kwa price range ya 300,000 hadi 400,000. ukipata ya 2016 ni nzuri zaidi ila kuwa makini zipo j5 zisizo na 4g.

Nikiangalia video YouTube sioni sehem ya kutolea sauti ukiwa unapiga nyimbo kwenye j5 au inatokea kwenye sehem ya kusikilizia endapo unaongea na mtu akikupigia?!
 
mkuu bonyeza volume up au volume down halafu jaribu ku adjust, haikidhi mahitaji ukiongeza au kupunguza sauti kuna kimshale kinatokea kibonyeze itatokea separate volume control.

au nenda setting halafu sound utaona volume tofauti tofauti media, volume ya alarm kuongea na simu etc.

au sijaelewa swali?
 
Mkuu Nina Samsung j7 ila sikuhizi inaonesha ads kibao nafanyaje kuziondoa ads
hizo ads zinatokea wapi? ukiwa internet maeneo kama browser na baadhi ya app au hata ukituma sms, whatsapp na maeneo yote?
 
mkuu bonyeza volume up au volume down halafu jaribu ku adjust, haikidhi mahitaji ukiongeza au kupunguza sauti kuna kimshale kinatokea kibonyeze itatokea separate volume control.

au nenda setting halafu sound utaona volume tofauti tofauti media, volume ya alarm kuongea na simu etc.

au sijaelewa swali?
Yeah nimemaanisha Mimi nikiiangalia hiyo j5 katika video zilizopo YouTube mbona sioni speaker kubwa ya kutolea sauti endapo unacheza mziki?
 
hizo ads zinatokea wapi? ukiwa internet maeneo kama browser na baadhi ya app au hata ukituma sms, whatsapp na maeneo yote?
Maeneo yote nikwa SMS, hapa jamiiforums, hata contacts popote pale zina pop up
 
nenda setting halafu security halafu device administrator angalia kuna kitu zaidi ya device manager?

nenda setting halafu application halafu download application gani hauja install imejieka yenyewe?
 
Nimecheck nimekuta device manager pekeyake

Alaf nimeenda kwenye Applications zote ninezidownload mwenyewe hakuna iliyojiweka
 
then katika app ulioieka mwenyewe ndio inaleta hayo matangazo. kumbuka ulieka nini kabla tatizo halijaanza
 
Sasa unanishauri ni install apps nilizodownload recently maake ninedowload hike pamoja na we chat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom