Lumia 1520 na 640 xl niende wapi?

Lumia 1520 na 640 xl niende wapi?

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,269
Reaction score
1,107
Habari za leo wanajamii!! Nimekaa na Lumia 535 dual kwa kama mwaka mmoja na nusu nikifurahia W8.1 Denim hadi W10. Ila sasa naona muda wa mabadiliko ndio umewadia na sijaona bado sababu ya kurudi Android coz naona Windows phones do the best for me.
Sasa katika pitapita zangu nikiangalia bajeti yangu nimekutana na hizi simu mbili (Lumia 1520 na Lumia 640 XL) ambazo zimeniweka njia panda kiukweli na pia naona bei zake ni kama zinarandana hivi around 500k.
Naombeni ushauri kuwa niende wapi coz naona in terms of specs 1520 iko juu ila ni ya zamani na kwa upande mwingine hii 640 XL ni ya kawaida sana ila ni mpya.
naombeni ushauri wote kwa ujumla wenu.
 
Jamani watu mnapita wima tu kwenye hii thread bila hata kuchangia. It is not fair. maoni yenu tafadhali
 
Habari za leo wanajamii!! Nimekaa na Lumia 535 dual kwa kama mwaka mmoja na nusu nikifurahia W8.1 Denim hadi W10. Ila sasa naona muda wa mabadiliko ndio umewadia na sijaona bado sababu ya kurudi Android coz naona Windows phones do the best for me.
Sasa katika pitapita zangu nikiangalia bajeti yangu nimekutana na hizi simu mbili (Lumia 1520 na Lumia 640 XL) ambazo zimeniweka njia panda kiukweli na pia naona bei zake ni kama zinarandana hivi around 500k.
Naombeni ushauri kuwa niende wapi coz naona in terms of specs 1520 iko juu ila ni ya zamani na kwa upande mwingine hii 640 XL ni ya kawaida sana ila ni mpya.
naombeni ushauri wote kwa ujumla wenu.
Nakushauri nenda Microsoft Lumia 950 au 950XL zote kali. Zote zinatumia latest Windows 10.
 
zinaenda bei gani mkuu?? vipi quality ya kamera? maana kinachonitoa huku lumia 535 ni poor camera quality baada ya update kwenda W10
 
Nakushauri nenda Microsoft Lumia 950 au 950XL zote kali. Zote zinatumia latest Windows 10.
Hizo ni kuanxia laki 9 mpaka 1.2m kutegemea na mahali na duka . Lumia 640 iko poa pia
 
Chukua lumia 640XL LTE iko vizuri hutojutia na bei yake iko poa sana njoo nikupe lumia 640XL LTE used like new haijawahi kuguswa
No any scratches
Nitafute hapa 0713651733
 
Back
Top Bottom