Web application developer.

Web application developer.

Nicklaus

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
464
Reaction score
460
Habari jf
Katika changamoto za baishara nikaona sio mbaya sana kuendana na ulimwengu wa technology, nahitaji wa kunitengenezea au kunisaidai kuweza kumiliki web application itakayo niunganisha mm na customer wangu, app iwe na uwe na uwezo kama online registration, picture uphold by customer etc. Kwa mwenye uwezo na uelewa anipe gharama kamili na kunip.m
 
Back
Top Bottom