Msaada wale wataalam wa bidhaa za Sony

Msaada wale wataalam wa bidhaa za Sony

hashimrashidy

Senior Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
197
Reaction score
145
Nina tv yangu ambayo niliyokuwa natumia takribani miaka mitatu hv...ni tv aina ya sony flat screen jana naiwasha naona inakataa kuendelea kuwaka yani inawaka halafu inabakia neno SONY tu halafu haiendelei sasa sijajuwa tatzo ni nini na pia kama inatengenezeka au haitengenezeki naombonei msaada wenu
1476603092845.jpg
 
mkuu jaribu kuireset, katika zile button nne za kulia kushoto juu na chini bonyeza ya juu bila kuachilia halafu bonyeza cha kuwashia na kuzimia. hakikisha unafanya hivi tv ikiwa imewaka hapo ikionesha logo
 
Imekataa chief hv tatzo lake ni nn maana tumemleta fundi anasema haitengenezeki mpka kuna kitu tubadilishe hiki hapa
1476613606262.jpg
1476613620702.jpg
 
Cjui hata ilipo ila huyu fund anasema kwamba sony huwaga ndo tatzo lake na ikifikia hv ndo bhas tena coz software zake hakuna tz sasa cjui ni kweli ama vp
 
Bootlooping sio tatizo la hardware...Kuna harufu ya ujambazi hapo!
 
Back
Top Bottom