Msaada: bei ya betri ya iPhone 5s

Msaada: bei ya betri ya iPhone 5s

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,716
Reaction score
1,842
habari za muda huu wadau ningependa kufahamu bei ya betri la iphone 5s coz nahis kama betri la kwenye simu yangu limekufa... huku mkoani nilipo hakuna maduka yanayouza hizo betri za aina hiyo hivo ningependa wadau wanaoishi dar wanipe msaada wa bei kama wanaifahamu..Asante
 
Back
Top Bottom