Tecno gan ?Fanya hard reset kwanza,wipe data ,wipe cache kisha reboot,wadau nina tatzo simu yangu ya tecno imekufa software ghafla je ntafanyaje ipate kufanya kazi kama hapo hawali
Fanya kutumia memory card ,weka firmware humo na jaribu kuflash,kama imekufa emmc hapo majanganamie huawei yangu y530 imekufa software imegoma kuflashika wamenambia inahtajika software mpya ifanye kazi
hizo firmware za kudownload au? na je nikipeleka ofisini kwao wanaweza wakanirekebishiaFanya kutumia memory card ,weka firmware humo na jaribu kuflash,kama imekufa emmc hapo majanga
Yah za kudownload,kama una warranty watakusaidia piahizo firmware za kudownload au? na je nikipeleka ofisini kwao wanaweza wakanirekebishia
ngoja ni jaribu kuwekaYah za kudownload,kama una warranty watakusaidia pia
Sawa mkuungoja ni jaribu kuweka
mie huawei yangu imegoma kuflashika,ukiiwasha menu haiji inaniambia connect wifiKuna mkanganyiko nimeshindwa kuelewa ni software au hardware. Kama ni software ni ya kuflash kama ni hardware mara nyingi emmc huwa zinakufa hadi kuibadirisha.
Hapo simu yako uliirestore, ili kuweza kutatua tatizo hilo inabidi uwe na internet kwenye simu yako, next hadi utakapofikia kuingiza gmail account ya awali iliyokuwemo kabla haujairestore. Kama maelezo utakayoweka yatakuwa sahihi itafunguka. Hii inaitwa ''Factory Recovery Protection (FRP)'' Kama itashindikana tafuta mtaalamu anaejua, usije ukaiflash kwa kuweka rom mpya (iwe stock au custom), simu yako ndo utakuwa umeiua jumla. Kuna baadhi ya simu naweza kuzifungua FRP lakni sio zote.mie huawei yangu imegoma kuflashika,ukiiwasha menu haiji inaniambia connect wifi
mkuu nimejaribu kuricover ila nikiiwasha inasema connect via wifi badala ya kuja email ili nijazeHapo simu yako uliirestore, ili kuweza kutatua tatizo hilo inabidi uwe na internet kwenye simu yako, next hadi utakapofikia kuingiza gmail account ya awali iliyokuwemo kabla haujairestore. Kama maelezo utakayoweka yatakuwa sahihi itafunguka. Hii inaitwa ''Factory Recovery Protection (FRP)'' Kama itashindikana tafuta mtaalamu anaejua, usije ukaiflash kwa kuweka rom mpya (iwe stock au custom), simu yako ndo utakuwa umeiua jumla. Kuna baadhi ya simu naweza kuzifungua FRP lakni sio zote.
ni lazima pia uwashe wifi sio hiarimkuu nimejaribu kuricover ila nikiiwasha inasema connect via wifi badala ya kuja email ili nijaze
ushauri mzuri bora upeleke kwa fundi maana maelekezo yake ni magumu na yanayohitaj uelewa mkubwa kidogo ila kuhusu FRP ni kitu kizuri nimekipenda hata mimi na kama sikosei simu zinazoanza na android 6 ndio zinakuwa na hyo lock ila zinasumbua japo binafs sizani kuna simu itakayonishinda kuirejesha kawaida iwe tecno samsung n.kHapo simu yako uliirestore, ili kuweza kutatua tatizo hilo inabidi uwe na internet kwenye simu yako, next hadi utakapofikia kuingiza gmail account ya awali iliyokuwemo kabla haujairestore. Kama maelezo utakayoweka yatakuwa sahihi itafunguka. Hii inaitwa ''Factory Recovery Protection (FRP)'' Kama itashindikana tafuta mtaalamu anaejua, usije ukaiflash kwa kuweka rom mpya (iwe stock au custom), simu yako ndo utakuwa umeiua jumla. Kuna baadhi ya simu naweza kuzifungua FRP lakni sio zote.
yec mkuu ni lazima uwashe wifi mpaka sasa haifungukini lazima pia uwashe wifi sio hiari
wadau nina tatzo simu yangu ya tecno imekufa software ghafla je ntafanyaje ipate kufanya kazi kama hapo hawali
namie huawei yangu y530 imekufa software imegoma kuflashika wamenambia inahtajika software mpya ifanye kazi