Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Management Consultant Job Title: Management Consultant INNOVEX is a Pan-African advisory and assurance services firm providing professional services in Sub-Saharan Africa with a focus in...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Habari za wakati huu kijana mwenzenu apa nimekuja katika hili jukwaa ninashida na mchongo elimu yangu ni form four| veta level ||. proffesional niliyosoma ni eletrical and eletronics. Shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwawale wabishi mtakuwa mnaelewa TAHA ni nini, naomba mwenye kujua indicative salary scales ya hawa jamaa, kuna kazi Wametoa niko interested. Hossam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Overview Air Tanzania Company Limited (ATCL) is implementing its five years Corporate Strategic Plan (2017/2018-2020-2021) which includes the network expansion in local, regional and international...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Habari zenu waungwana Natakiwa nikae muda gani mara baada ya kufanya usahili wa pili kwenye kampuni binafsi li kujua kama nimekosa nafasi ya kazi au la? Hii naongelea hasa kwa zile kampuni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anahitajika mpishi wa kiume mwenye sifa zifuatazo KITAALUMA 1. Ujuzi wa nyama choma (foil & open fire) 2. Ujuzi wa ukaangaji chipsi na kuku (kwa ubunifu wa hali ya juu ikiwemo katika viungo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za mda huu wana jamii forum..nipende kuwasilisha maombi haya kwenu..yeye ni dada/binti wa miaka 22 anaishi Mwanza kwa sasa ana elimu ya level ya form four anatafuta kazi ya kufanya Dar es...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni na majukumu. Mimi ni operator mwenye uzoefu kazini zaidi ya miaka 3. Kuna baadhi ya miradi nilifanya kazi Kama operator wa excavator sehem nyingine Kama operator wa bulldozer na sehem...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini wapendwa poleni na majukumu. MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27. Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k Ujuzi nilionao : *kutengeneza masai...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wadau wa jamii forum. Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka. Location: Dar es salaam vikunai. Vigezo: kijana wa kiume Umri miaka 17 mpaka 20 Uaminifu mkubwa Ofa: Malazi...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu habarini! Mimi ni mwalimu katika masomo tajwa hapo juu,niliehitimu elimu yangu katika taasisi kubwa tu hapa nch mwaka 2018 Nina uzoefu wa miaka miwili katika fani ya kufundisha,hivyo...
0 Reactions
1 Replies
601 Views
Wakuu naamini kazi zinaendelea! Msaada tafadhali, mdogo wangu anahitaji kuhama toka wizarani kwenda moja kati ya mashirika haya COSTECH na TAEC( Atomic Energy) ameshapata barua za kukubaliwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni. Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hebu tusaidiane ndugu zangu mnaofahamu ni ujuzi gani ukijifunza upo katika ukijifunza unaweza kukupa fursa nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomben kufaham! Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Naitwa edgar nina elimu ya kidato cha 4. Mwenyeji wa arusha ila kwa sasa npo lindi nachingwea. Nauzoefu wa kazi za uchimbaji mdogo na wa kati, kazi hii nimefanya kwa miaka takribani 6, pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari me ni kijana mwenye umri was miaka 24..nina certificate of business administration... Seriously I look for job hata MTU ambae anandugu take nji za nje aniunganishe hata nikawe housekeeper...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Back
Top Bottom