Naomba kufahamishwa viwango vya mishahara TAHA

Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,538
2,155
Kwawale wabishi mtakuwa mnaelewa TAHA ni nini, naomba mwenye kujua indicative salary scales ya hawa jamaa, kuna kazi Wametoa niko interested.

Hossam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U

Unaulizia mshahara wakati hujafaulu hata usaili?, Omba kazi, faulu usaili, mshahara utaujua kwenye barua ya ajira. Ukitanguliza mshahara, hutapata kazi
 
  • Thanks
Reactions: rr3
hawa jamaa wanadeal na mazao ya hortculture wako arusha.....wako vizuri kiasi inategemea na kazi na kiwango cha ujuzi.. jamaa yangu alianza kazi pale akitokea chuo akaanza na 2.8 m...ila baada ya muda ikafikia 4.5 m..khy km kuna mtu una experience ata ya miaka mitatu inaeza fika 6m
 
Du mbona mishahara mikubwa sana, 2.8m kwa njuka?
 
itakua maana jamaa yangu ameajiriwa november 2016
Niliwahi fanya interview ofisi hii..ila hii ofisi ni profit generating company sema sikufanikiwa nilifanya interview 2016 mwezi wa nane yawezekana katika post alichaguliwa rafiki yako tulikua wote kwenye interview
 
okay itakua...maana jamaa asa hv anakula 5m...full bata
 
paukweli sana..jamaa asa hv anakula totoz za chuo cha uhasibu
Siku ya interview nilimtia sound mtoto mmoja alikua anafanya field hapo TAHA alikua wa ukweli kinoma, kumbe sehemu tuliosimama kulikua na kioo kwa ndani ndo kulikua na hio panel wanaona kila kinachoendelea nje hahaha
 
Back
Top Bottom