Natafuta kazi ngumu

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Habarini wapendwa poleni na majukumu.
MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27.
Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k

Ujuzi nilionao :
*kutengeneza masai sandals (viatu vya kimasai)
*Pia ni operator wa excavator, wheel loader na buldozer
TUSAIDIANE HATA KIMAWAZO POPOTE NIPO TAYARI KUFIKA KARIBUNI.
 
Mungu akufanyie wepesi upate kazi yenye maslahi mazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom