Natafuta kazi nimesomea Elecrical and Electronics Veta

alcacer

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
238
201
Habari za wakati huu kijana mwenzenu apa nimekuja katika hili jukwaa ninashida na mchongo elimu yangu ni form four| veta level ||.
proffesional niliyosoma ni eletrical and eletronics.

Shukrani.
 
Ongeza na ujuzi wa umeme wa magari boss, muda kidogo tu wa kujua componemts za kwenye magari na zifanyavyo kazi, basi unapiga kote kote, ije installation, troubleshooting na vifananavyo.
 
Ongeza na ujuzi wa umeme wa magari boss, muda kidogo tu wa kujua componemts za kwenye magari na zifanyavyo kazi, basi unapiga kote kote, ije installation, troubleshooting na vifananavyo.
pamoja mkuu
 
Hello.
We are looking for an entry level candidates to fill the following positions

(i) Mechanical Technician
(ii) Welders
(iii) Supervisory Trainee (Entry Level
(iv) Electrical Technician
(v) Production & Operations Officer
(vi) Industrial Engineering
(vii) ICT-Management

Requirements
i)Bachelor Degree/Ordinary Diploma in relevant Field
ii)Age not exceeding 35 years old
iii) 0-1 year of experience

If meet the above requirements you can Send CV to recruitment@twyfordtile.com

Recruitment is on a rolling basis and only qualified candidates shall be contacted
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom