Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka

chief iddy

Member
Jul 20, 2016
85
60
Habari za wakati huu wadau wa jamii forum.

Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka.

Location: Dar es salaam vikunai.
Vigezo: kijana wa kiume
Umri miaka 17 mpaka 20
Uaminifu mkubwa

Ofa: Malazi na chakula juu yangu

Salary: 40000 per month.

Duka bado ni jipya hivyo maslahi hayo yanaweza kubadilika kadri ya biashara itakavyokua nzuri.

0683 729 001

Whatsapp 0677 079 612
 
Akiuza duka mtabaki na nini?
 
Back
Top Bottom