Natafuta kazi hata housegirl nchi za nje

Judyth

New Member
Jul 19, 2021
1
20
Habari me ni kijana mwenye umri was miaka 24..nina certificate of business administration... Seriously I look for job hata MTU ambae anandugu take nji za nje aniunganishe hata nikawe housekeeper or any legal job nipo tayari...asanteni naamin nitapata msaa

Screenshot_20210627-153029_1624805390888.jpg

Screenshot_20210627-153042_1624805331101.jpg
 
Bakariforever

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
443
500
Ukipata konekisheniiii niambie na mimi nipo tayari hata kubadilisha jinsia ili nipate kazi ya u housegirl huko nje 😭😭😭
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,308
2,000
Una akili finyu sana una taka kwenda Nchi gani nikusaidie
Mtoa mada amezingua hapo tu pa kutaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kana kwamba ana vigezo vya kipekee!

Yeye alitakiwa awe muwazi tu kwamba yuko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile! Ndani au nje ya nchi, katika mazingira yoyote yale mfano mjini au pembezoni mwa mji, nk. Badala ya kujitutumua huku akiwa ana uhitaji wa kazi.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,407
2,000
Mtoa mada amezingua hapo tu pa kutaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kana kwamba ana vigezo vya kipekee!

Yeye alitakiwa awe muwazi tu kwamba yuko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile! Ndani au nje ya nchi, katika mazingira yoyote yale mfano mjini au pembezoni mwa mji, nk. Badala ya kujitutumua huku akiwa ana uhitaji wa kazi.
Eti kujitutumua

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom