Clinical Officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Naomben kufaham!

Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajiri.
 
Naomben kufahamu..! Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu,naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajir
Cha kufanya andika barua ya kuomba kujitolea pamoja na cv zako, then sambaza kila hospital, wakikuhitaji watakuita
 
Unahitaji kujitolea hospital kubwa unge kuwa nje ya dar ningekusaidia 100% lakini siyo hospitali kubwa.
 
Tanzania jamani.

Zahanati ya Mafuleta ina Daktari mmoja na nesi mmoja. Zahanati inahudumia vijiji vinne, ila unakuta clinical officer anatafuta sehemu ya kujitolea.

Nanyogie, Bwiko, Mgila kote hakutamaniki.

Tunakwama wapi?
 
Naomben kufaham!

Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajiri.
Kuna mtu yupo private amepata ajira government bado hajariport njoo tuone
 
Naomben kufaham!

Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam ambazo naweza jitolea baadae waniajiri.
Embuu Jaribuu Kupelekeka katika Hospital ya Amana au Temeke Huwa wanaitaa walee ambao wanataka Kujitolea
 
Tanzania jamani.

Zahanati ya Mafuleta ina Daktari mmoja na nesi mmoja. Zahanati inahudumia vijiji vinne, ila unakuta clinical officer anatafuta sehemu ya kujitolea.

Nanyogie, Bwiko, Mgila kote hakutamaniki.

Tunakwama wapi?
Hapana Usiseme hivyoo mkuu sasa hivii hataa kupataa sehemu za Kujitoleaa ni connection hazipatikanii kizembe na siyoo sehemu zote wanaruhusu watu kujitolea mkuu
 
Ni Kweli Kabisaa Taaluma Siyoo za Kuhangaikaa ilaa kwa sasa Kunaa clinical officer wengii sana vyuoni na wengii wanaipenda Sana hii fanii na ndio imepelekea Hataa Kwenye Soko LA Ajiraa kuwa gumu tofautii nazamanii
 
Tanzania jamani.

Zahanati ya Mafuleta ina Daktari mmoja na nesi mmoja. Zahanati inahudumia vijiji vinne, ila unakuta clinical officer anatafuta sehemu ya kujitolea.

Nanyogie, Bwiko, Mgila kote hakutamaniki.

Tunakwama wapi?
tunakwama Tanzania...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom