Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu wana jf habarin, Naomba kuuliza kati ya diploma ya maabara Yan medical laboratory na diploma pharmacy ipi unaweza kuajiriwa haraka serikalini?
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la. Inapotokea Interviewer...
4 Reactions
80 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu. Napenda kuwatangazia kuwa km una ndg au jamaa ana ujuzi wa secretarial course au kompyuta kwa ujumla basi natafuta mtu wa Kazi ya stationery. Km yupo Niunganishe nae inbox...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hellow, Kumekua na malalamiko mengi sana juu ya ajira kua zimekua ngumu lakini kulalamika kwetu bado hakuleti tija, zaidi ya vyote kila mwaka wanachuo wapya wengine wanazidi kumaliza idadi yao...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimefikia hatua hii kwakuwa nimeona mabadiliko makubwa sana tangu kusitishwa kwa ajira na hivi sasa vibali vilipoanza kutolewa na serikali kwa ajili ya kuajiriwa watumishi wapya ndani ya utumishi...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Fungua hili hiki kiambatanisho https://www.ajira.go.tz/wp-content/uploads/2019/01/VACANCIES-ANNOUNCEMENT-Tanzania-Revenue-Authority-16-Jan2019.pdf
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Pakueni mzigo wakuu, kila la kheri kwa wote waliokua shortlisted. silent_ocean
0 Reactions
12 Replies
11K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 195 Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya...
4 Reactions
39 Replies
12K Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Taasisi za Umma MbalimbalI Serikalini, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
TANGAZO LA KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/40 20th September, 2017...
2 Reactions
1 Replies
5K Views
On behalf of the TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY (TCRA), President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill vacant posts as mentioned...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakurugenzi Watendaji wa Halmshauri za Wilaya ya Igunga, Kasulu na Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, anakaribisha maombi ya...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
27 Job Vacancies at Utumishi ajira portal. On behalf of The Mining Commission (TMC) andTanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa Jina la Muumba Wetu. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta Mwl kwaajili ya kumfundisha Mwanangu ambaye mwakani anatarajia kuanza la kwanza. Nimetokea vijijini sasa mtoto...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/L/99 06 Mei, 2021 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Mimi siyo mwandishi mzuri Ila naamini ntaeleweka. Kuna madogo Jana nlikutana nao sehemu katika story wakawa wanalalamika Kwamba walifanya usaili wa Tanzania Forest Services (TFS)...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hebu tusaidiane ndugu zangu kwa wale jobless ni mbinu gani unayotumia kujipatia kipato cha kuendesha maisha Hebu tupeane maujuzi ni mbinu unazotumia ambazo na sisi jobless tukizutumia tunaweza...
1 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa' majina naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka 28 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis za magari' tangu najifunza mpaka sasa nimefuzu Nina miaka9 kwenye fani' bado...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom