Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 616
- 548
Habari zenu waungwana
Natakiwa nikae muda gani mara baada ya kufanya usahili wa pili kwenye kampuni binafsi li kujua kama nimekosa nafasi ya kazi au la?
Hii naongelea hasa kwa zile kampuni ambazo hawana kawaida ya kusema kwamba ni lini majibu ya usahili yatatoka ili kujua kama umekosa au la.
Namkaribisha yoyote mwenye uzoefu wa mambo haya aweze kutufumbua macho.