Natafuta kazi yoyote ya kufanya, nina elimu ya kidato cha nne

edo des

New Member
Aug 1, 2021
3
45
Naitwa edgar nina elimu ya kidato cha 4. Mwenyeji wa arusha ila kwa sasa npo lindi nachingwea.

Nauzoefu wa kazi za uchimbaji mdogo na wa kati, kazi hii nimefanya kwa miaka takribani 6, pia kusimamia biashara kubwa. Kwenye kaz za uchimbaji naweza kuchoronga kwa kutumia mashine (jeck hammer). Pia kublast japo sina leseni, ufungaji timba na chanja. Nimefanya kaz geita nyarugusu, Binhwa rwamgasa na Singida shelui

Kutokana na changamoto za kaz hizi na kuwepo kwa maslahi yasiyoridhisha npo tayar kufanya kaz yoyote yenye maslahi na pia npo tayari kujifunza kazi yoyote.

Sina simu kubwa ila nakuwa hewani muda wote kwa namba 0710461797. Ila huwa natumia cm ya mtu wa karibu na mm hivyo ni rahic kutuma cv yangu.

Naombeni msaada kwa hali na mali kwani kwa sasa npo mjini nachingwea lindi na sina kazi.

Natumia lugha mbili kwa mawasiliano fasaha, kingereza na kiswahili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom