Mwalimu wa English & history natafuta shule

Mwalimu wa English & history natafuta shule

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Wakuu habarini!

Mimi ni mwalimu katika masomo tajwa hapo juu,niliehitimu elimu yangu katika taasisi kubwa tu hapa nch mwaka 2018

Nina uzoefu wa miaka miwili katika fani ya kufundisha,hivyo mwenye nafasi katika shule yake au mwenye connection yeyote naomba aniunge nayo,

Kwa sasa napatikana kanda ya ziwa.

Karibuni kwa ushauri na connection pia.
 
Utapata tu mkuu. Endelea kutafuta. Na mwakani serikali ya CCM inaweza pia kujisikia tena kuajiri! Huwezi jua, unaweza kupata.

Jipe moyo mkuu! Usikate tamaa.
 
Back
Top Bottom