Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta kazi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anahitajika Accountant, awe na cheti cha Diploma kutoka katika chuo kilichosajiliwa, uzoefu wa miaka 2 katika kazi, Umri usizidi miaka 35. kama una sifa tuma Cv na barua ya maombi ya kazi kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bny Technology is pleased to announce that it has finish to create one of the most advanced job recruitment portal available in industry to date. The Portal is now at the testing and evaluation...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani natafuta kazi lakini iwe mkoa wa dsm,bagamoyo au morogoro
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuweni makini na watumiaji wa tigo kuna style mpya ya wizi kwenye mtandao wa kijamii facebook: hebu ingia kwenye hii link Salama Jabir | Facebook huyu jamaa anajiita kama Salama Jabir yule...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za kazi wana JF? Poleni kwa kazi. Mimi natafuta chuo cha patnership cha Information and Communication tech. Naombeni msaada wenu jamani ili niwezekufanikisha ndoto zangu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CAREER OPPORTUNITY-WORLD VISION TANZANIA World Vision is a Christian Development, Relief and Advocacy Non Government Organization dedicated to working with children, families and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman kwa anayejua, ni lini watatoa majina ya waliopita kwnye usaili wa mwez july, ktk mafunzo ya uhamiaji?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JAMANI WATANZANIA WENZANGU MIMI NIMETEMBEA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA, NIMEJIONEA MATANGAZO YA KUITWA KAZINI KWA WALIOFAULU USAILI WA MWEZI JUNI 2012. PIA NIMEONA...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamani kila siku najiuliza kuhusu mtihani wa mchujo wa utumishi, unakuwa na mhundo gani? maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi. Kama kuna mdau amewahi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa wale wote ambao wameomba kazi kupitia secretarite ya Utumish, tafadhali uwe aware na idadi ya watu wanaohitajika katika hio post husika kwako. La sivyo unaweza kutapoteza nauli ,na wengi...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mnaendeleaje na Semina zenu?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba msaada kwa hili> Hivi wale wanao maliza Procurement and Supplies nao wanakuwa ktk kundi la wahasibu? Maana kuna Muajiri mmoja aliniuliza swali kuwa nina sifa ya ihasibu? na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wadau naomba kwa yeyote ayejua nafasi za kazi zinatoka lini kwenye hizo sehemu nilizozitaja aniambie.Najua kuna watu wengi wa kila namna hapa jukwaani.Nataka kumpeleka mdogo wangu kwenye...
1 Reactions
11 Replies
13K Views
Nimehangaika sana kutafuta chuo kwa ajili ya kujifunza operator wa caterpilar, kwa yeyote anayefaham hilo anijulishe tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Makarani waliochaguliwa kwa vigezo walivyoviweka wakubwa wa nbs leo ilikuwa patanikushika ktk Sehemu zao walizoziteua kwa mafunzo manispaa ya ilala . Polisi waliofika kuzima fujo pia walionekana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia? Sina mtaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WAKUU, natafuta kijana mwenye uzoefu wa kufanya kazi za stationery ikiwa ni pamoja na kutumia machine kama compyuta, photocopy, kubind, kutype na shughuli zote kama hizo. Pia ajue kiingereza na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wanajamvini, kama kuna mtu ana any update kutoka TRA zile nafasi za accountant assistant. Naomba tufahamishane.:israel::spy:
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom