Tembelea tovuti ya sekretarieti ya ajira kuna matangazo ya kuitwa kazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tembelea tovuti ya sekretarieti ya ajira kuna matangazo ya kuitwa kazini

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mafanikio, Jul 30, 2012.

 1. m

  mafanikio Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  JAMANI WATANZANIA WENZANGU MIMI NIMETEMBEA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA, NIMEJIONEA MATANGAZO YA KUITWA KAZINI KWA WALIOFAULU USAILI WA MWEZI JUNI 2012.

  PIA NIMEONA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI LIMEWEKWA TAREHE 27 JULAI 2012 HIVYO KAMA ULIOMBA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA TAFADHALI USIKOSE NAFASI YAKO KWA KUTOKUWA NA TAARIFA TEMBELEA TOVUTI YAO WWW.AJIRA.GO.TZ UKAFANYE USAILI AU MJULISHE MWENZAKO.

  MWISHO NIMEONA TANGAZO JIPYA LA NAFASI ZA KAZI MBALIMBALI JAMANI TUCHANGAMKIE AJIRA MIMI NIMESHATUMA MAOMBI NA NIMEZINGATIA VIGEZO NAIMANI NITAPATA KAZI SAFARI HII.

  NIMEAMUA KUITUMA HAPA MAANA NAJUA KUNA WADAU WENGI NIA YANGU NI KUPUNGUZA WIMBI LA WATANZANIA WASIOA NA AJIRA NA KURAHISISHA UPATIKANAJI WA HABARI.

  WENU MAFANIKIO.
   
 2. b

  biteyaboy New Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii website ipo sawa kweli au umekosea sehemu?
   
Loading...