ANGALIZO: Watainiwa wote wa TANAPA, COASCO, NHIF,T AEC na ZINAZOKUJA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ANGALIZO: Watainiwa wote wa TANAPA, COASCO, NHIF,T AEC na ZINAZOKUJA

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mabwepand, Aug 15, 2012.

 1. m

  mabwepand Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kwa wale wote ambao wameomba kazi kupitia secretarite ya Utumish, tafadhali uwe aware na idadi ya watu wanaohitajika katika hio post husika kwako. La sivyo unaweza kutapoteza nauli ,na wengi mtakuwa na madeni ya kukopa kwa ajili ya safari. Ratio ya kuitwa kwa oral interview ni 1:3 yaani nafasi moja kwa watu watatu kwa oral interview, baada ya kufanya written interview hivo kuwa muangalifu kidogo au kuwa mvulivu.
   
 2. m

  markj JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  duh! kwani hawa nhif nao watu wameomba kwa kutumia utumishi? mana tanapa wao pia si zani kama wanatumia utumishi pia! kwanza hawa nhif interview zao zinaendeleaje? mana mkuu unaweza kupoteza nauli ivi ivi na madeni juu kati ya watu 1000 mwaitajika 4. duuh! mtihani
   
 3. Y

  YOSAYOSA Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona sijaona majina ya walio itwa,mwenye nayo naomba atupie hapa jf
   
 4. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Unachokisema mtaalamu ni sahihi kabisa kwani mm yamenikuta katika interv. Ya TAEC kule A-town, nimejikuta napoteza nauli yangu bulee kumbe kuna watu wanakazi zao tayari, tulikuwa watu 56 na wanaohitajika ni watu 3 tu. Sintouzulia interv. Za namna hii ever.
   
 5. Mr Anold

  Mr Anold JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Guys ukiitwa kwenye interview nenda, kwani utakupata kazi kupitia interview au jiajiri.
  I suggest that interview inakupa experience na challange na hata kazi, la muhimu ni kujiamini na kufikiri kuwa wewe ndiyo una vigezo vya kuajiriwa ila endapo hujaitwa ujue wajanja zaidi yako walikuwepo pia.
  Huna akili kuliko wote na pia wewe sio kilaza kuliko wote.

  Athanteni sana kwa kuja:flypig:
  Guys ukiitwa kwenye interview nenda, kwani utakupata kazi kupitia interview au jiajiri.
  I suggest that interview inakupa experience na challange na hata kazi, la muhimu ni kujiamini na kufikiri kuwa wewe ndiyo una vigezo vya kuajiriwa ila endapo hujaitwa ujue wajanja zaidi yako walikuwepo pia.
  Huna akili kuliko wote na pia wewe sio kilaza kuliko wote.

  Athanteni sana kwa kuja:flypig:
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unaelezea nn Mkuu?
   
Loading...