Kazi ya stationery

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
271
WAKUU,

natafuta kijana mwenye uzoefu wa kufanya kazi za stationery ikiwa ni pamoja na kutumia machine kama compyuta, photocopy, kubind, kutype na shughuli zote kama hizo. Pia ajue kiingereza na walau awe amemaliza form iv

Ni kibanda kidogo na kipo maeneo ya Yombo (DSM). Kama kuna mwombani anayeishi maeneo hayo na anaweza hii kazi ani PM tufanye mazungumzo.

karibuni
 
TukuPM wakati wanataka kazi siyo sisi? Weka namba ya simu ili tukupe namba za watu waje uwafanyishe interview.
 
mkuu hizo ndio shughuli zangu kinacho nishinda hapo kwenye computer mimi na kuingia jamii foroum nafacebook tu, sasa nikupm au
n;b najua kuotoa copy na kuzi fanyia service kwa aina zote za copier,canon.nashuatec, sharp etc
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom