Mtihani wa mchujo Utumishi

nyarngato

Member
Apr 11, 2012
29
4
Jamani kila siku najiuliza kuhusu mtihani wa mchujo wa utumishi, unakuwa na mhundo gani?
maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi.
Kama kuna mdau amewahi kufanya tafadhali nitoe ushamba
 
Ama! Mbona maneno mapya hayo? Mbona hawajawahi kunipa mtihani huo wa mchujo? Na wao nani anawafanyisha? Maana Hawa Ghasia angekuwa wa kwanza kufeli ninavyomjua.
 
Jamani kila siku najiuliza kuhusu mtihani wa mchujo wa utumishi, unakuwa na mhundo gani?
maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi.
Kama kuna mdau amewahi kufanya tafadhali nitoe ushamba
inategemea post yako uliyoomba ,i have done written interview twice & i experience the same questions nilikuwa shocked mpaka nahisi ile ya pili nilishindwa
kama ni interview ya accountants,internal audit for senior &assistant level please ni pm nitakutumia maswali yote matano ndugu yangu
 
u guyz tel me usail upo mpaka ln na unafanyikia wap?mi mwenzenu np mwisho wa dunia
 
inategemea post yako uliyoomba ,i have done written interview twice & i experience the same questions nilikuwa shocked mpaka nahisi ile ya pili nilishindwa
kama ni interview ya accountants,internal audit for senior &assistant level please ni pm nitakutumia maswali yote matano ndugu yangu

acha uchoyo ndugu!si uweke hapa wote tuone?au ndo unasaka umaarufu
 
jaman guyz u cnt blv post yangu imeshapita ilikua utendaji kata/kijiji,n ndo nimeona leo kwenye ratba sekretatiet,n ilkua tar 6,7 manyara gv me advce,wat do i do next
 
Back
Top Bottom