Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,109
- 2,510
Mnaendeleaje na Semina zenu?
Serikali ilikuwa inategemea pesa kutoka UN zimekwama...sasa kuna bahadhi ya maeneo kama sio yote watakopesha nguvu zao,hela nyingine zitachelewa sana..kwa iyo kama umepata Advance itumie vizuri sana kwa uangalifu..hii ni kwa wote dodoso refu na fupi.
ni taarifa za kweli mkuu? mbona watupa presha sie?
Ha ha ha ha, Tanzania ina vituko amchelewi kuambiwa asanteni sana kwa uzalendo vijana, kuhusu malipo subirini cheque itoke ndo imetoka hiyo
Au wanawaambia malipo yenu tunayapeleka moja kwa moja bodi ya mikopo kupunguza deni mlilokopa chuo.
Nilipita Mzumbe pale, dada Gift anakusalimia!