Nafasi za kazi Magereza,JWTZ na Polisi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi Magereza,JWTZ na Polisi.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tizo1, Aug 19, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani wadau naomba kwa yeyote ayejua nafasi za kazi zinatoka lini kwenye hizo sehemu nilizozitaja aniambie.Najua kuna watu wengi wa kila namna hapa jukwaani.Nataka kumpeleka mdogo wangu kwenye kozi yoyote inayofuata toka sehemu hizo.
  Asanteni sana
   
 2. k

  ktman2 Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We MKURYA ?
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ana elimu gani huyo mdogo wako? Watatangaza magazetini hasa kwa wale Proffessional ndio wata aply directly makao makuu na hawa wengine lazima wapitie JKT ndio aqualify kwenda Jwtz
   
 4. S

  SOLOGWIGABA Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda mfupi uliopita nilikuwa naongea na Commisiner wa Polisi kuhusu ajira ndani ya jeshi la Polisi amesema kwa sasa kule CCP kuna recruit kozi inaendelea ambapo inategemewa kuisha 2012 mwezi wa 2 au 3 baada ya hapo ndipo wataajiri wengine,hvyo tegemea labda kwa kipindi hicho.Hata hivyo ametoa angalizo kuwa Jeshi la Polisi linasitasita kuajiri wasomi wengi maana wanaleta usumbufu kwa viongozi wa ngazi za juu za jeshi hilo kwa kuhoji kila jambo kinyume kabisa na maadili ya jeshi ambapo askari anatakiwa kuitikia NDIYO AFANDE hata kama anaonewa/kudhurumiwa haki yake.
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  Ana elimu ya kidato cha sita.alipata div 4.
   
 6. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,379
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  wakati anazubaa zubaa mpeleke veta akatafute cheti kingine inamaana sana kama atakuwa na kitu cha ziada
   
 7. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mpelekeni ualimu huyo
   
 8. Soso J

  Soso J JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 1,691
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  jaman jaman!huyo mdogo wako amekosa nini mpk unataka aende majeshini?najua WaTanzania wengi dhana ya kupeleka ndugu au watoto wao kigezo nikuwa wamfeli shuleni,au wamepata division 4 za mwsho so jeshini ni last option,mdogo wako ana elimu gan?majeshini bila elimu ya kueleweka unataka mdogo wako akawe mtumwa na manamba wa kutupwa,atakuwa ni mtu wa kukataa tamaa kama tunavyoona wanajeshi askari wetu hapa Tz na kuishia ktk gongo,hakikisha awe na elimu kwanza angalau digrii ndio umpeleke,kutwa wenzetu hao wanasema maslahi duni,japokuwa hawasemi direct lkn hawana kitu na serikali imewatupa kimapato,angalia ni nn sbb ya wewe kutaka kumpeleka huko...iwish ningeonana face to face nikwambia uozo mwingne mwng ulipo majeshini hasa ktk vyuo vyao vya mafunzo.....Yaan acha tuu!
   
 9. M

  Mshangaaji Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  But yet we need people to join our forces regardless what, sina uhakika ni wapi katika nchi hii hakuna uozo. Tatizo ni kwamba pamoja na elimu yako unahitaji mtu wa kukushika mkono kupata kibarua. Watu pia wanapenda fani tofauti, huwezi kumlazimisha huyo mdogo wake kwenda THT!!!!!!
   
 10. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Nimeona mchangiaji mmoja hapo juu amesema ampeleke ualimu. Hivi ualimu ni kazi ya walio feli? Nauliza tu maGT.
   
 11. h

  haroun eston New Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi ni mhitimu wa mafunzo ya kilimo na mifugo je naweza nikapata nafasi ya kujiunga na jwtz kutokana na hiyo proffesional niliyo nayo?
   
 12. h

  haroun eston New Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafasi za jeshi huwa zinatoka muda gani?
   
Loading...