Ms mashaba
Member
- Dec 28, 2011
- 43
- 4
wanajamvini, kama kuna mtu ana any update kutoka TRA zile nafasi za accountant assistant. Naomba tufahamishane.:israel::spy:
wow thank u nimeenda nimekuta kabaruawalishawatumia watu barua za kuwataka wa wakubali au lah kuhusu kuchukuwa nafasi hiyo! jaribu kwenda kwenye sanduku la posta lako!
dah!!!!!1Besti ukiona manyoya ujue................ Nawe jiongeze!!!!!!!!
wow thank u nimeenda nimekuta kabarua