Graduates wa Procurement and Supplies

stable

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
303
434
Wanajamvi naomba msaada kwa hili>
Hivi wale wanao maliza Procurement and Supplies nao wanakuwa ktk kundi la wahasibu?
Maana kuna Muajiri mmoja aliniuliza swali kuwa nina sifa ya ihasibu? na mlengwa amemaliza procurement MUCCOBS.
Pia nikiangalia takwimu ya wanao maliza uhasibu mfano last year walikuwa zaid ya 15,000 kwa vyuo vyote lakini walio maliza Accounts tu ni zaidi ya 8700 kwa vyuo vyote. sasa ili idadi ya 15,000 itimie, ni graduates gani wanakuwa na sifa za uhasibu ukiachilia waliomaliza accounts?
Naomba kusaidiwa.
 
sifa za kihasibu ni zipi kwani? Huyo anabaki na proffessional yake kama ilivyo
 
Procurement ni procurement japo kuna masomo ya uhasibu kwa saaanaa lakini vitengo hivyo huwa haviingiliani kiutendaji maana proc ni manunuzi kuna na sheria zake uhasibu ni kuripoti mambo ya fedha na vitu kama hivyo!Ila kama unataka kuajiriwa kwa dili unamtu anafight front inawezekana kaabisa ukafanya uhasibu tena vizuri tuu unless mtaala wa Muccobs uwe kivingine sana.
 
huyo mwajili mzinguaji....uhasibu na procument ni vitu viwili tofauti yaniiiii hiii ni sawa mtu amesomea socilogy halafu anataka apewe kazi ya udaktari
 
Back
Top Bottom