Natafuta Kazi ya Kujiajiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Kazi ya Kujiajiri

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by QUALIFIED, Aug 15, 2012.

 1. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia?

  Sina mtaji wowote na nahitaji na kupenda pia niweze pata mtaji walau hata kidogo wa kujiajiri. Ni namna gani naweza pata mtaji wadau?

  Natanguliza Shukrani.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,076
  Likes Received: 10,432
  Trophy Points: 280
  Hiyo heading yako imeekaje!!? Unatafuta kazi, halafu ya kujiajiri?
   
 3. O

  Ochutz JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kazi za kujiajiri hazitafutwi.........
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  it should be '' natafuta mtaji wa kujiajiri''
   
 5. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Weka cv zako tuzione then tutakupa kazi ya kujiajiri! Mwenye macho haambiwi tazama
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  umemaliza masomo gani mkuu...
   
 7. a

  adataro Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 8. michael mbiti

  michael mbiti Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nch hii kama hauna mtaji ndugu yangu ni matatizo makubwa sana, kwanza ungesema umesomea nini ili tujue uko upande upi wa elimu yako, pili unahitaji kazi gani kwamaana tunaweza kukuambia twende tukalime kwa mkono nawe hauwezi kulima hebu eleza kidogo ili tujue kwa maana wasomi tupo wengi na tuna fani mbalimbali kaka aksante nabila shaka umenipata mwana,

  :spy:
   
 9. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Unaweza kutafuta kwanza kazi ukaajiriwa ili upate uzoefu na mshahara wako ukautunza ili uwe mtaji wa kufanya kile unachokipenda.
   
 10. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama vile MLM! Kama ndivyo atawezaje naye keshasema hana hata senti moja ya kununulia starter pack zetu?
   
 11. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Ni pm tuongee
   
 12. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mwenzako anatafuta kazi, we unataka umtongoze cjui!.
   
 13. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  No nataka nimsaidie ingawa sio kazi ila mawazo angalau.
   
Loading...