Utapeli mpya facebook kwa watumiaji wa tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapeli mpya facebook kwa watumiaji wa tigo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by viz, Aug 20, 2012.

 1. v

  viz Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuweni makini na watumiaji wa tigo kuna style mpya ya wizi kwenye mtandao wa kijamii facebook: hebu ingia kwenye hii link Salama Jabir | Facebook huyu jamaa anajiita kama Salama Jabir yule mtangazaji wa kipindi cha mkasi EATV

  Kwenye wall yake kuna tangazo kama lifuatalo:

  "TIGO MXSHARE PIGA SIMU BURE KWENDA MITANDAO YOTE BILA MALIPO:

  Hi, kwa wale wote wanao ulizia huduma ya tigo mxshare. Technician bado anaendelea kuunganisha huduma ya Mxshare kwa bei nafuu Tshs.3500, ukiunganishiwa unakua na uwezo wa kupiga simu bure kwenda mitandao yote Tanzania bila malipo ya vocha na ukishaunganishiwa huduma haina kikomo na ukishalipia 3500 ukaunganishiwa hautolipia tena pesa na hautohtaj kuunganshwa tena huduma ni yamoja kwa moja.

  KAMA UNAHITAJI TAFADHALI NITUMIE NAMBA YAKO YA SIMU INBOX SASA HIVI ILI NIMPATIE TECHNICIAN WA TIGO AIUNGANISHE KATIKA SYSTEM KISHA UTALIPIA Tshs.3500 ILI TUKUPE PIN NUMBER YAKUJIUNGA.

  KUMBUKA: Hatuhitaj mtu awe na hofu na kuhisi anatapeliwa maana mjini hapa na sio wote mnao amini, ila tuna uhakika na huduma hii na wengi tumewaunganishia. HATUCHUKUI PESA KWANZA MPAKA UTUPE NAMBA YAKO IUNGANISHWE KTK SYSTEM KISHA UTAHAKIKISHA JE, NIKWELI KUNA HUDUMA IITWAYO MXSHARE? KISHA NDIO UTALIPIA TUKUPE NAMBA YA SIRI YAKUJIUNGA."

  Nawakilisha
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Thanx for information
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  Nina alegi na Promotion...
   
 4. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwanza siipendi tigo,bt nashukuru niwape wengine taarifa
   
 5. E

  Edison JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 494
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 60
  sina comments
   
 6. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  wsh ningekuwa kama ww...jaman nmezd kupnda slope
   
 7. GreatMkubwa

  GreatMkubwa Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  huyo jamaa yeye ni nani hasa huko tigo mpaka aweze kuingia kweny system yao?
   
 8. U

  USHOROBA Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kavurugwa huyo, achukue namba za ndungu zake kwanza wafaidi
   
 9. Rashdind

  Rashdind Senior Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  mjini shule bana
   
 10. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nililiwa buku 5 miez 2 ilopita, kipind icho anajiita diamond platnumz..
   
 11. Y

  Young Teacher Senior Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wabongo bwana! wanapenda kula bata bla kutoka jasho kama vp akawaunganishie wabunge wanaoish dar wapigie raia majimbon
   
 12. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  awafaidishe ndugu zake kwanza?!!
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mimi sio mtumiaji wa TIGO
   
 14. L

  LUNA Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx 4 info
   
 15. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  waachie wenye mtandao kama hutumii tigo, sio lazima
   
 16. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  3500 simu bila kikomo kwenda mitandao yote hapa nchini,Kampuni ingefungwa hii
   
 17. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  thanks for taarifa mkuu
   
Loading...