Natafuta housegirl

Dinam

Senior Member
Jan 19, 2011
116
28
Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia ya watu watatu pamoja na yeye na nyumba si kubwa mimi naenda job mtoto school hivyo atabaki na nyumba tu please msaada wenu.

my contact please 0787 481765, 0757 511531
 
Jamani haya sio maendeleo kweli ? hata sie Waafrika sasa tuna weka yaya au watumishi wa ndani na bado tunataka walnaojua kusoma - haya ni maendeleo katika nchi na bado tunamponda JK
 
Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia ya watu watatu pamoja na yeye na nyumba si kubwa mimi naenda job mtoto school hivyo atabaki na nyumba tu please msaada wenu.

my contact please 0787 481765, 0757 511531

mi nataka elfu 60,yani kila siku buku. Ila utaniita houseboy. .....Usiofu namba nimeinoti nkipata housegirl ntakucheki. Ila uwe mkarimu maana hawa mabinti wanakuwa na maisha magumu kazini. Pia iyo salary wanachukua japo usiitangaze kiivyo maana govt.imesema wapate elfu 60+,ukimpata ujulishe jamvi ili tuache kuendelea kukutafutia,gudtym.
 
Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia ya watu watatu pamoja na yeye na nyumba si kubwa mimi naenda job mtoto school hivyo atabaki na nyumba tu please msaada wenu.

my contact please 0787 481765, 0757 511531

Siku hizi kuwapata tabu kweli...ukiuliza unaambiwa wamejiunga shule za kata.......

Ila kama unamaanisha na unawatoto wadogo ambao ungeenda wawe well cared mtafute binti aliemaliza Certificate ya Early Childhood...
 
pole mpenzi hata mimi nilikuwa na shida kama yako. jaribu kuwasiliana na mawalala wanaowaketa kutoka kijijini utapata.
 
siku hizi kuwapata tabu kweli...ukiuliza unaambiwa wamejiunga shule za kata.......

Ila kama unamaanisha na unawatoto wadogo ambao ungeenda wawe well cared mtafute binti aliemaliza certificate ya early childhood...

nartafuta yaya aliyemaliza early child wood
 
Ukimpata mwndeleze ulete mchngo kwnye jamii..hata awe anafanya QT, utamkata kwnye mshahara taratibu, kama wewe uanvyotaka kuendelezwa kazini kwako,goodluck.
 
Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia ya watu watatu pamoja na yeye na nyumba si kubwa mimi naenda job mtoto school hivyo atabaki na nyumba tu please msaada wenu.

my contact please 0787 481765, 0757 511531
yaani buku kwa siku? ebu kuweni na huruma na hawa watu ambao wengi mazingira ndiyo yamewafanya wawe hivyo walivyo
 
Mim nin gf wangu sasa nimemuacha kijijin na mm niko kusoma hapa dar! Ili kumfanya awe bize naomba tuwasiliane awe house girl wako ila nikimaliza namchukua! Onyo angalia ucje ukatembea nae au mumeo akafanya hvyo!! Kama ukotayari ni PM..
 
yupo - ana cheti cha nurse (assistant) - yaani certificate ya mwaka mmoja, amesomea pia kazi za matron (shule)

hataki kulala - atakuja asubuhi na kuondoka jioni - mshahara 70,000/= Anajua kupika, kufua, kunyoosha nguo, kufanya usafi etc. kama uko tayari - yupo ready - ni PM please. Kama utasisitiza akae hapo hapo - mtaelewana
 
Naweza kupata contact zake nikaongea naye kabla ? pana kazi anaweza kutufaa huyo tafadhali
 
wakuu natafuta house girl au nisaidieni nipate mawakala wa hao ma-house girl tafadhali ikiwezekana awe na mdhamini
 
Back
Top Bottom