Wapi kuna chuo cha operator catterpilar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi kuna chuo cha operator catterpilar

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Scofield, Aug 18, 2012.

 1. S

  Scofield Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimehangaika sana kutafuta chuo kwa ajili ya kujifunza operator wa caterpilar, kwa yeyote anayefaham hilo anijulishe tafadhali.
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii kitu hakuna ila nadhani tafuta zinapofanya kazi ujifunze kwa maoparetor maana vinginevyo hakuna!!
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Nenda VETA dar watakuambia wapi wanafundisha hizo course kama sijakosea morogoro VETA au Mikumi ....
   
 4. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nenda GGM watakufundisha
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Nadhani mkuu uende NIT MABIBO au CHUO CHA BANDARI pale TEMEKE
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Thanks for the info mimi natamani sana kujua ku operator hiyo mitambo na folk lift
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Chuo Cha Bandari hawafundishi kuoperate caterpillars. Pale ni Port Cranes, Malori, Fork Lifts, Reach Stackers na Empty Container Handlers.
   
 8. michael mbiti

  michael mbiti Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka usiuize kichwa nchi hii ukikosa kihonda morogoro tafuta mtu akufundishe tu mm mwenyewe mchawi wa hayo makatapila balaa c kama haya hapa chini kaka yote napiga mm naitwa operator wa dunia hata ukitengeneza ya udongo ikiunguluma naoperet tu pole sana nitakusaidia kujua caterpiller machine
   

  Attached Files:

Loading...