kimenuka ilala nini tena jamanii kulikoni eti sensa????????????

mamkey

Member
Apr 5, 2012
25
5
Makarani waliochaguliwa kwa vigezo walivyoviweka wakubwa wa nbs leo ilikuwa patanikushika ktk Sehemu zao walizoziteua kwa mafunzo manispaa ya ilala . Polisi waliofika kuzima fujo pia walionekana kuimbiwa na makarani hao kweli we are not serious in this watu mmewachagua nyie kwa vigezo vyenu , mmepoteza muda wenu kuwatrain na mitihani ya hapa na pale leo ckuzimepita wanaambiwa kunawatu mtawaondoa tena bila kujali kuwapa cku walizopoteza na hela walizozitumia kwa nauli kilasiku.Jamani tuwe makini katika mambo yanayoitaji umakini ili kujenga uzalendo na ktk kes hii uzalendo utatoka wap au mnataka wajifungie wapike data . uU A TANZANIAN ,ACT POSITIVE TO TANZANIANS NAIPENDA MY TANZANIA ??????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Mkuu embu elezea vizuri basi imekuwaje huko tena mi sijaelewa kinachoendelea mkuu
 
watu wamechaguliwa kufanya mafunzo ya sensa. wamefanya sasa yapata wiki. kwenye malipo ndo inaleta kasheshe, wanasema watafanyiwa mchujo, wale watakao pita ndo watalipwa siku walizo kaa kwenye mafunzo na kama hautapita kwenye mchujo haulipwi. So watu wanataka walipwe kwa kupotezewa mda wiki nzima kwani mda wote wamehudhulia mafuzo.
Watu wanadai chao walicho ahidiwa walipo anza mafunzo. mia
 
Bongo watu wana njaa vijilaki3 tu ndio mikimiki hadi watu walihonga wapate udodoso halafu hela yenyewe hata full tank ya Mark X haitoshi.
 
ndo hapa unapoonekana umuhimu wa walimu kwenye zoezi hili, yasingetokea yote haya.
 
Kituko baada ya kituko nchi hii. Vip lile dodoso letu vip limefikia wap?
 
serikali ya TZ imechoka kuishi na raia wake kwa Amani. Watu tumefanya semina wiki nzima alafu na sikukuu hii unawambia waje j4 ndo watapewa hela!! Mbaya zaidi hata hela ya msosi tu hawajatoa.

Liwalo na Liwe!
 
Walidhani wamewakomoa Walimu sasa wao ndio wameingia choo cha kike wajinga wakubwa hawa walidhani kila mtu anaweza kudhulumiwa kama Mwalimu? Asant Mungu umeskia kilio cha Walimu
 
Subirini kwenye HOTUBA ya mwisho wa mwezi, akimaliza kuongelea mananasi ya Ghana, ataongelea la makarani wa sensa atasema MADAI YAO HAYATEKELEZEKI!
 
makarani waliochaguliwa kwa vigezo walivyoviweka wakubwa wa nbs leo ilikuwa patanikushika ktk sehemu zao walizoziteua kwa mafunzo manispaa ya ilala . Polisi waliofika kuzima fujo pia walionekana kuimbiwa na makarani hao kweli we are not serious in this watu mmewachagua nyie kwa vigezo vyenu , mmepoteza muda wenu kuwatrain na mitihani ya hapa na pale leo ckuzimepita wanaambiwa kunawatu mtawaondoa tena bila kujali kuwapa cku walizopoteza na hela walizozitumia kwa nauli kilasiku.jamani tuwe makini katika mambo yanayoitaji umakini ili kujenga uzalendo na ktk kes hii uzalendo utatoka wap au mnataka wajifungie wapike data . Uu a tanzanian ,act positive to tanzanians naipenda my tanzania ??????????????????????????????????????????????????????????????????????

mambo ya namna hii pia yametokea kata ya saranga kimara ambapo siku za mwisho majina yalitolewa mengine kabisa kwa kisingizio eti waliochaguliwa awalio sio wakazi wa kimara kumbe diwani wa saranga (chadema)kala pesa za watu ndo kasababisha zoezi zima la kuwaondoa watu likafanyika hakika zoezi la sensa halitafanikiwa coz hata vijana wenyewe waliopata wanadhulumiwa pesa zao wahataweza kuleta accurate information and data!!
 
Back
Top Bottom