JOB OPPORTUNITIES (22 posts): TV COMPANY; DEADLINE: 21/12/2013

mimituu

Member
Nov 5, 2012
61
0
ENTERTAINMENT TEAM
1. On screen talent (Hosts for talkshow and music show); 3 posts
2. Production Manager; 1 post.
3. Reseachers; 2 posts
4. Production assistant; 1 post.
5. Visual Editor; 1 post.
6. Camera men; 4 posts
7. Vision mixer; (re-advertize) 2 posts
8. Final mixer; 1 post.

PRODUCTION TEAM
1. Director of production; 1 post.
2. Assistant news producer (re-advertize); 2 post.
3. Video Journalist (re-advertize); 2 posts.
4. Autocure (re-advertize); 1 post.
5. Stringers (re-advertize); 1 post.


Send your CV before 21/12/2013: opportunitieskamal@gmail.com or jinnocent31@yahoo.com
 

Mais

Member
May 5, 2013
56
70
usanii mwingi mjini hapa!!! kazi gani unatangaza katika mfumo huu wa kuficha hata jina la hiyo kampuni!!!! utaonyesha vipi imani ya hiyo kampuni? nani atakuamini??? jipange sawa sawa!!!
 

mimituu

Member
Nov 5, 2012
61
0
Company: Viasat1 Tanzania LTD.
Nafasi tano tu ndio nimezirudia; watu wana-apply sana, ukiona nafasi imetangazwa tena inamaanisha CV zilizopatikana not qualified for particular post.
Asanteni.
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
8,586
2,000
Company: Viasat1 Tanzania LTD.
Nafasi tano tu ndio nimezirudia; watu wana-apply sana, ukiona nafasi imetangazwa tena inamaanisha CV zilizopatikana not qualified for particular post.
Asanteni.

Hivi Marcus Adolfsson ndio huyu?

Marcus Adolfsson.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom