NAOMBA KUFAHAMU EFC TANZANIA. Kama wameita watu kwa written interview

Efc ni taasisi ipi ndugu?

enterprenuers financial center, is a micro financial institutional save as FINCA, wapo mataa ya sayansi kijitonyama opp.. Ni wa canad wale wapo kisanii sana, walimsumbua mdogo wang moja kwa interview 4 (orally with HR,written, loan office and last MD) mwisho salary laki 2
 
Ni wasanii hasa. Interview 3-4. Yaani pale mswahili anayepokea hela kubwa ni shs 2.5 million. Wengine wanambwelambwela kwenye laki nne na tano gross. labda uwe pappet wao. Tena baada ya muda na utaogelea kwenye laki 7-9. Mbaya zaidi unaweza pewa warning letter ndani ya siku 2 za kuanza kazi na wakati huo upo probation. So unaweza fukuzwa kazi ndani ya probation. Wale wakanada ni noma bora wahindi. Waswahili ndo wanatake advantage Yao. Basi Papo tu.

Ukioona kwa nje unaitamani ILA ndani ni uozo WA kijinga haswa.

Kila la kheri ndugu.
 
Ni kwel unachosema ndug ila katika maisha ya leo ni bora kupata kwanza cz itakusaidia kupata uzoef wkt unatafuta sehm nyngne. Mm nko apo na kuna watu weng wanahamia mabank makubwa waktokea apo.siyo vema kukatasha tamaa wenzio.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom