Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
Waungwana salama jamani,nimemaliza chuo kwa sasa nipo kitaa tu,fani yangu ni fundi umeme,naombeni msaada jamani wa kupata japo nafasi ya kuvolunteer kwenye kampuni yoyote ile na vilevile wale wenye vibanda vyao msinisahau kwenye kunipatia kazi ya kuwafanyia wiring majumbani mwenu,namba yangu ni O7183O2132