Soma hapa Tafadhari!!

Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,552
2,844
Ni kijana wa kiume, umri miaka 17, Elimu yake darasa la 7, kabila Mzigua, anaishi Mikocheni. Anatafuta kazi yoyote ile halali yenye kumuingizia kipato. Ana uzoefu wa kuuza duka la reja reja na jumla, ni mstarabu na mwaminifu sana.
 
Kama anauzoefubn kip kilchofanya aache kuuza alipokuwa mwanzo,asje kuwa jiz ikala kwangu mkuu
 
Kama anauzoefubn kip kilchofanya aache kuuza alipokuwa mwanzo,asje kuwa jiz ikala kwangu mkuu

...,Hapana Mkuu hyo tabia hana coz anaheshmu kaz yake then hapo kwa mwanzo aliachishwa kutokana na kutumia siku 5 kwenda kijijin kumjulia hali Mzazi wake aliekua Mgonjwa serious badala ya siku 3 alzopewa na hyo ilisababshwa na barabara kua mbovu kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha!
 
Umri wake bado mdogo sana... Ebu fanyeni mpango aende shule secondary au ata chuo cha ufundi apate kujiajiri.. oooppsss
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom