Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Job Title: Librarian Position Description: Swadiq Development Foundation which is located in Dar es Salaam is inspired to open a modern and state ort Islamic Library in Dar es Salaam and is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By Orestes Sotta Recruitment Specialist During the typical job interview, you'll be peppered with many interview questions. But do you really understand what the interviewer needs to know...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
By Orestes Sotta Recruitment Specialist: All employers' greatest asset is the quality of its staff. To ensure that the very best people join their team, they use a competency based interview...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu zile kazi za UDA wameshaanza kuita watu kwenye interview.. mlioomba mkae mkao wa kula.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naombeni msaada ninakijana wangu anauza duka la dawa sasa hana elim ya kutosha kutoa huduma hiyo nimeambiwa kuwa hawa TFDA(Tanzania Food and Drug Authority) wanatoa mafunzo ya muda mfupi. naombeni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ALIYE OMBA KAZI T-MARC TANZANIA TUAMBIZANE MAANA NILIOMBA HUKO NAONA KIMYA:A S-omg::A S-omg::A S-omg:
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Vp kuna mwenye taarifa zozote kuhusiana na hawa jamaa kuhusu zile nafac za data managers walizotangaza hivi karibuni...vp wameshaita watu kwa interview? Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu mimi ni mhtimu wa shahada ya sheria nmemaliza june mwaka huu lakini hadi leo hii nmetafuta kazi hata ya kuuza genge nmekosa wakuu na maisha ya mtaan n magumu sana ndugu zangu naomba mwenye...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wana jamvi nimepotelewa na vyeti vyangu vifuatavyo, Cheti cha form 4 moshi tech 2004, form 6 Pugu secondary 2007, Institute of Accountancy Arusha (IAA) 2011 pamoja na cheti cha Tanzania Institute...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Fresh Graduates ambao ni talented kwenye programming especially Java and web programming waombe nafasi hii COSEKE is the company with offices in Tanzania, Kenya, Uganda and Rwanda. Our Tanzanian...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajulishe na wengine asiokuwa na access ya JF; mi nadeal na wewe hapo. Nafasi za Kazi TANROADS!! tanroads Cashier – (Two Posts) TAN ROADS Area: Kigoma Position Description: The Regional...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Am looking for a job/volunteer in any reputable organization, well experienced in Administration, Sales and Marketing and front office management, contanct. mhassani84@yahoo.com or pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuanzia nikiwa sekondari nimeweka moyoni kwangu kuwa ipo siku nitajiunga na usalama wa taifa.sasa ni karibia miaka 15 imepita nikishikiria wazo langu. Ipo siku najua ndoto yangu itatimia...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Samahani kama kuna mtu ana info kwa tuliofanya interview maersk mwezi wa kumi.Asanteni
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Msaada jamani leo mida ya saa sita mchana nimepigiwa simu kutoka SUA MORO kuwa nahitajika kwenye usahili tarehe 30-31 je kuna yeyote mwenye taarifa kamili? Isije ikawa ni matapeli.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu salam,Tunahitaji walinzi ,kama una ndugu jamaa rafiki ambae ana uzoefu na kazi ya ulinzi,mrefu wa futi tano na zaidi,mwenye afya njema tafadhali tuma namba yake ya simu au cv kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasalimu wana forum. hawa watu wa Adexec oil and gas company walitoa nafasi 3 za administrative officers niliomba sasa wameniita kwenye kile kinachoitwa interview na workshop,I have to pay...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nhif wametoa nafasi za kazi jaman...zpo www.zoomtanzania.com tujaribuni jaman! Na vp hawa nao wakoje?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Angalizo: Uki search kwenye google utakutakuta kuna 1. Watoto wetu Tanzania-Youth awareness program(YAP) 2. Youth Awareness Program Tanzania (YAP-Tanzania). 1.) Watoto wetu Tanzania - Youth...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
KITUO CHA KAZI: Mkoa wa Tanga MSHAHARA:- Maelewano MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:- Th. 22/12/2013 saa 10.00 jioni VIAMBATANISHO:- Vyeti cha elimu yako. CV Mshahara unaotegemea. MUHIMU...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom