Nafasi ya kazi ya accountant


M

matasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
378
Likes
3
Points
0
Age
44
M

matasha

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
378 3 0
Kampuni moja ya kigeni inatafuta accountant mwenye sifa zifuatazo.

Awe ana degree ya accountancy si advanced diploma
Awe mwanamke
Kwa vile kazi atafanya Kilimanjaro awe mtu wa huko preferably Rombo
Awe anafahamu kiingereza vizuri

* Wamesema awe mtu wa huko kwa vile anayafahamu mazingira ya huko si vingiinevyo tafadhali

Nitumie cv yako kwa email: o.kyauke@amicustz.com
 

Forum statistics

Threads 1,250,676
Members 481,436
Posts 29,741,384