Natafuta kazi ya kujitolea, sichagui kazi wala mahali.


J

joo dos santos

New Member
Joined
Dec 16, 2013
Messages
2
Likes
0
Points
0
J

joo dos santos

New Member
Joined Dec 16, 2013
2 0 0
Habari za mchana wadau, natumai Mungu anatenda. Nina ombi moja tu kwenu kaka zangu, dada zangu, mama zang na baba zangu naomba yeyote anayeweza nipa kazi ya kujitolea nimesomea mambo ya manunuzi na ugavi (procurement and supplies,, degree) nachotaka ni kua busy kama mtu ataniajiri Mungu ashukuriwe na abarikiwe sana ila mim ombi langu kwenu ni kuvolunteer tu, nataka kua busy tu. namba yangu ni 0654111423 niko dar es salaam na sichagui kazi na nina utaalamu wa masoko pia na uzoefu. Samahani kwa usumbufu na mungu awafanyie wepesi katika shughuli zenu,, popote tanzania nitakuja kushirikiana nanyi. 0654111423
 
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
2,709
Likes
626
Points
280
Age
31
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
2,709 626 280
All ze best mkuu!ngoja waje wenye fursa!
 
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
6,747
Likes
1,551
Points
280
Twilumba

Twilumba

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
6,747 1,551 280
Kila lla kheri mkuu,
Mungu akufanikishe sawasawa na mahitaji yako!
 

Forum statistics

Threads 1,251,150
Members 481,585
Posts 29,759,350