Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya jioni. Kwanini wanajf wanastress sana. Mie najipostia thread zangu lakini maadui wamekuwa wengi kuliko marafiki. Upendo umepoa kabisa. Niende wapi nikajiliwaze moyo unavuja damu...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwanaume ukiwa na maisha mazuri na vitu vizuri vinakwenda na dunia, basi asilimia 98 ya wanawake umewapata. Kila mwanamke anatamani kuwa na mtu maarufu, muonekano, msanii, kiongozi, tajiri na n.k...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Salaam, Mm ni Kijana wa Miaka 32. Mwajiriwa na Mchakarikaji. Natafuta mwanamke Mchamungu awe Muislam miaka 24 hadi 28. Asiwe na mtoto. Makazi yangu Kwa sasa ni Tanga Kwa mwenye uhitaji wa...
1 Reactions
0 Replies
467 Views
Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ? Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini...
27 Reactions
124 Replies
18K Views
Ikitokea leo hii ndoa zote zikavunjwa hlf mkapewa hiyari ya kurudiana na baby wako kwa aliye tayari. Je utakuwa tayari kurudiana na huyo baby wako? **Mabarubaru peni na karatasi ziwe karibu...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Kikawaida mafundisho ya ndoa za kikatoliki hua kati ya wiki 2 mpaka mwezi 1 lakini katika jimbo XXX (Jimbo katoliki) na parokia zake zote hali ni tofauti kabisa mafundisho ya ndoa ni...
11 Reactions
90 Replies
6K Views
Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli. Chukua chuma icho. Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.
3 Reactions
21 Replies
1K Views
For the first time, I've fallen in love with a girl from the far south of Tanzania (SONGEA). She's neither fat nor thin, she's black and sickly with romantic eyes and her lips just beg to be...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Enyi Wana WA Nuruni Naomba mje mnisaidie hii kitu Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka? Maana me nimetongozwaga zamani, Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA...
4 Reactions
142 Replies
6K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari... Ikumbukwe kuwa ili mtu aweze kufurahia ngono ni lazima awe ametulia akili... Kama unamsongo wa mawazo huwezi kuwaza ngono isipokuwa ukikosa Cha...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari. Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao. Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni...
20 Reactions
100 Replies
8K Views
Habari wanajamvi Swali langu la leo katika tafakuri, Je ni kitu gani uliwahi kuhonga(kwa wanaume) au kuhongwa (kwa wanawake) ukiwa na miaka chini ya 25? Burudika weekend na hicho kibonzo juu...
1 Reactions
8 Replies
816 Views
Wakuu kwema Kuna mdada kazini tulikuwa vi tukonae vizuri mwanzo From no where akaanza kunichukia bila sababu,chuki imekuwa kubwa mpaka anisalimii Nashindwa kumuelewa wakati mimi ni mkuu wake wa...
7 Reactions
77 Replies
5K Views
1 ILIKUWA ghafla, kama pigo la kisu ambalo lilipenya mwilini na kuujeruhi moyo wa Inspekta Kombora. Kati ya yote aliyoyatarajia jioni ya leo, simu kama hiyo, ya maafa, haikuwamo kabisa akilini...
13 Reactions
238 Replies
97K Views
Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu...
26 Reactions
134 Replies
11K Views
Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za Leo Wana MMU? Nakusihi jumapili ya Leo kama Mwenyezi Mungu amekubariki basi, umguse mwenye uhitaji Alie karibu yako. Wapo wengine tunao wafaham pia wanapitia changamoto za kimaisha...
2 Reactions
8 Replies
740 Views
Back
Top Bottom