Wasalaam wana wa Mungu,
Kosa au dhambi unayoichukia kwa mwingine basi nawe usifanye kwa maana machukizo mbele ya Mungu ni yale yale.
Wanadamu sisi sote tu wana wa Mungu na makosa yote...
Wakuu mmebarikiwa sana.
Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji...
Habari wanajamii,
Katika mazingira ya sasa ya malezi na makuzi huwa najiuliza sana hivi ni nani anapitia changamoto nyingi kati ya msichana na mvulana hasa wanapofika kipindi cha kubalehe hadi...
Ogopa sana aina ya wanawake ambao kutwa kucha wanaendekeza makundi ya ki rafiki wao wanaitana mashosti hawa wanawake ni hatari sana katika afya ya ndoa na huwa hawana adabu kwa waume zao...
Habari,
Mimi nina umri wa miaka 40, natafuta mke asiezidi miaka 35, dini yoyote, kabila lolote, rangi awe mweupe. PM ipo wazi kwa aliye makini, aliyemaliza mambo yake, siitaji msumbufu uko...
Kwamba utapata kuona rangi halisi za watu wanaosema wanajali kuhusu wewe.
Angalia ni nani anayeshikamana nawe na ninani asiyekupenda, na kuwashukuru wale wanaokuacha na kukutenga, kwa kuwa...
Habari wakuu,
Katika pitapita zangu vijiweni nikaskia stories kuwa kuna uchawi wa ulinzi ambao kuna baadhi ya wanawake wanawekewa ili wasichakatwe na ikitokea ukamchakata umejila unaweza kumbwa...
Ulifanya au ulichukua hatua ipi yule umpendae aliposema SIKUTAKI.
ukizingatia una sifa zote
Hakuna kitu ulichokosa kama mwanamke.
Na una mpenda sana.
Ulifanya maamuzi yapi?
Eti wakuu wa jamii forum,je? hi ni sahihi kweli?ama Hamna mwanamke hapa ananichuna tu.
Iko hivi wiki iliopita niliomba namba kwa demu huyu ambae nilikuwa namuonaga Sana eneo anakofanyia kazi...ni...
Wanawake wamekuwa wakiringa na kujitutumua wakizania wao ndiyo wenye kumiliki utamu jambo ambalo siyo kweli kabisa.
Wanawake endeleeni kujidanganyeni, mtabinua matrako, kuvaa nusu uchi ili...
Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50.
Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu.
Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
Wapenzi.
Mwaka unaisha huu nimeamua kuacha kujiuhusisha na mambo ya mahusiano.
Nifanye kilimo hasa mkoa wa Moro.
Faida umekuwa ndogo zaidi ya hasara.
Hasara nazokutana nazo.
Sijapata Mwanaume...
Kaka mmoja akanifata Inbox yangu Kule Instagram na kiukweli nilivyomuona alikuwa kijana shababi, alikuwa na six pack(kama mziitavyo), alikuwa mrefu mweusi.
Aliponitumia picha zake nikaziona...
Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka...
Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna.
Ikiwepo siku moja,mbili.
Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.