Kukosa cha kufanya kunaongeza kuwaza ngono

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari...

Ikumbukwe kuwa ili mtu aweze kufurahia ngono ni lazima awe ametulia akili...

Kama unamsongo wa mawazo huwezi kuwaza ngono isipokuwa ukikosa Cha kufanya na kuwa tu umerelax...

Katika pitapita zangu za huku na kule nikakuta mijadala mbali mbali..

Wengine wakijisemea wenyewe yaani nimekaa hapa geto tayari nishapiga kimoja yaani kashapiga punyeto..

Wengine wakiwa peke yao wanatafuta yale maplastic ya dudu wanajipachika...

Kama sio hawa majobless basi ni wale ambao walishatafuta wakazipata...

Huwaza ngono na wanayafanya maana wanakuwa wanajifariji..

Siunajua tena hakuna la kufanya basi vile viungo vingine vinataka kazi...

Wengine wao huishia kusaka vijana, na kujifurahisha kwa ngono..

Vibabu navyo vikishastaafu tu vikakosa vya kufanya vinasaka vibinti...

Wale wakuu wa nchi nao kwakuwa hawana kazi hutoa matamko nao hutafuta wa kujipooza...Mimi sijatajanmtu

Sasa kuna wale wakina baba Fulani wakiwa hawana kazi yaani likizo madada wa kazi nao wanakipatapata...
 
Uzijua nyegezi vizuri lakini😀😀😀😀unaweza kuwa kazini umetingwa ila ny*ge hazina adabu utawaza tu kama kuna flashbacks ndo kabisa 😀😀😀😀😀shwaaa shwaaaa
 
Nafikiria nimpate mdada mtundumtundu na mdadisidadisi kama Donatila tujifungue sehemu tyjikute tumejaribujaribu vitu hadi shetani abaki mdomo wazi....
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari...

Ikumbukwe kuwa ili mtu aweze kufurahia ngono ni lazima awe ametulia akili...

Kama unamsongo wa mawazo huwezi kuwaza ngono isipokuwa ukikosa Cha kufanya na kuwa tu umerelax...

Katika pitapita zangu za huku na kule nikakuta mijadala mbali mbali..

Wengine wakijisemea wenyewe yaani nimekaa hapa geto tayari nishapiga kimoja yaani kashapiga punyeto..

Wengine wakiwa peke yao wanatafuta yale maplastic ya dudu wanajipachika...

Kama sio hawa majobless basi ni wale ambao walishatafuta wakazipata...

Huwaza ngono na wanayafanya maana wanakuwa wanajifariji..

Siunajua tena hakuna la kufanya basi vile viungo vingine vinataka kazi...

Wengine wao huishia kusaka vijana, na kujifurahisha kwa ngono..

Vibabu navyo vikishastaafu tu vikakosa vya kufanya vinasaka vibinti...

Wale wakuu wa nchi nao kwakuwa hawana kazi hutoa matamko nao hutafuta wa kujipooza...Mimi sijatajanmtu

Sasa kuna wale wakina baba Fulani wakiwa hawana kazi yaani likizo madada wa kazi nao wanakipatapata...
Ngono ni burudani kama ilivyo michezo mingine. Kama hufurahii ngono hatuna cha kusaidia. Ngono haijalishi Cheo, utajiri wala rangi.
 
Back
Top Bottom