Mwanamke Mchamungu Muislam Anahitajika

Jack HD

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
852
1,159
Salaam,

Mm ni Kijana wa Miaka 32. Mwajiriwa na Mchakarikaji. Natafuta mwanamke Mchamungu awe Muislam miaka 24 hadi 28.
Asiwe na mtoto.

Makazi yangu Kwa sasa ni Tanga

Kwa mwenye uhitaji wa urafiki naomba tuwasiliane. Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom