Wanawake wenye tamaa ni 98% na 2% ndio idad yai wenye uvumilivu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Mwanaume ukiwa na maisha mazuri na vitu vizuri vinakwenda na dunia, basi asilimia 98 ya wanawake umewapata.

Kila mwanamke anatamani kuwa na mtu maarufu, muonekano, msanii, kiongozi, tajiri na n.k ambavyo vinaleta tamaa.

Urembo, nguo, simu kali,l ocation na mitando ya kijamaa ndio asilimia 98 wamejaa kugombania.

Nyumba za ibada kanisani na misikitini asilimia 98 wamejaa wapate mume bora.

Kwa waganga nako ni foleni asilimia 98.

Asilimia 2 ni bahati.
 
Wanaishiaga kulaumu wanaume lakini hawajui kwamba wanaume tunawindwa sana na haohao wanawake.

Yani usinukie perfume kali, uvae smart, una vigari viwili vitatu, biashara flani yenye kuingiza kipato stable cha kuishi maisha yasiyo ya kubabaisha nk basi hata kama una wanawake watano atakuja wa sita nae anataka tu.

These daughters od Jezebel ni shida halafu utasikia lawama kwa wanaume. Hawajui nini kuwa mwanaume aisee kubeba hizi kitu zinaning'inia na ukaweza kuzinyanyua ikasimama against gravity sio kitu kidogo wao ndio wanasababisha isimame sisi wala hatupendi 😁😂
 
These daughters od Jezebel ni shida halafu utasikia lawama kwa wanaume. Hawajui nini kuwa mwanaume aisee kubeba hizi kitu zinaning'inia na ukaweza kuzinyanyua ikasimama against gravity sio kitu kidogo wao ndio wanasababisha isimame sisi wala hatupendi
 
Jamii ya ombaomba.
Hii nchi 70% ya watu ni ombaomba. 30% ni wanaume watu wazima wanaoombwa ombwa na hiyo 70% inayojumuisha wanawake,watoto na wazee.
 
Mwanaume ukiwa na maisha mazuri na vitu vizuri vinakwenda na dunia basi asilimia 98 ya wanawake umewapata.

Kila mwanamke anatamani kuwa na mtu maarufu,muonekano,msaani,kiongozi,tajiri na n.k ambavyo vinaleta tamaa.

Urembo,nguo,simu kali,location na mitando ya kijamaa ndio asilimia 98 wamejaa kugombania.

Nyumba za ibada kanisani na misikitini asilimia 98 wamejaa wapate mume bora.

Kwa waganga nako ni foleni asilimia 98.

Asilimia 2 ni bahati
Boss unalosema ni sahihi ,Kuna law inaitwa ,law of attraction au roho ya mvuto au kuvuta mtu au kitu, ni rahisi sana ,unafikiria au kuwaza ndo kinachokutokea au unakivutia ,ukiwa na vitu au kuishi kama mademu vitu wanavyopenda basi watakukimbilia / utawavuta kama sumaku ,iyo ni law kubwa ya ulimwenguni,na ni wachache wanaijua na ukiijua itakuwa yeyote unayetaka kuwa,na utampata demu yeyote unayetaka,watu waliofanikiwa wengi na maarufu wanatumia iyo Siri
 
Wanaishiaga kulaumu wanaume lakini hawajui kwamba wanaume tunawindwa sana na haohao wanawake.

Yani usinukie perfume kali, uvae smart, una vigari viwili vitatu, biashara flani yenye kuingiza kipato stable cha kuishi maisha yasiyo ya kubabaisha nk basi hata kama una wanawake watano atakuja wa sita nae anataka tu.

These daughters od Jezebel ni shida halafu utasikia lawama kwa wanaume. Hawajui nini kuwa mwanaume aisee kubeba hizi kitu zinaning'inia na ukaweza kuzinyanyua ikasimama against gravity sio kitu kidogo wao ndio wanasababisha isimame sisi wala hatupendi 😁😂
Iyo inaitwa law of attraction ndo Siri ya ayo yote ikiijua hakuna utakachoshindwa chini ya jua
 
Sijaona suluhu , kwahiyo unataka kusemaje ? Wanaume tuendelee kutafuta pesa ili tuwapate kiwepesi au imekaaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom