Wakuu.
Kama tunavyo fahamu binadamu tume umbwa kwa kutegemeana na hakuna aliye kamilika, na hii ndiyo maana wanawake wakanyimwa utawala , nguvu na akili za kutosha na wakapewa udhaifu ,hisia na...
Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao...
NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni...
Nimekosa Heading ya kuweka hapa ndugu zanguni
Just imagine, wanakaa kitako kuwajadili waume zao. Boya mmoja anapiga simu kwa mkewe kuulizia maendeleo yake na mwanae, anawekwa loud speaker, baada...
Baada ya wastani miaka mitatu ya vipigo na vitisho vingi vya mara kwa mara kutoka kwa baba ake ambavyo kimsingi vilikuwa vinaniumiza na kunikera, siku moja nikiwa naamini nimepevuka nilimtafuta...
Mkeo ulimgharamikia kiasi gani mpaka kumpata kwa upande wa gharama za kumshawishi mpaka aingie laini na pia mahari ulilipa kiasi gani ikiwemo gharama za kusafiri wewe na wajumbe wako kwenda...
Hope mpo poa wakuu
Wanaume Daima tunakaribiwa na changamoto mbalimbali za maisha katika kuhakikisha familia zetu zinapata chochote kitu Kila siku.
Kwa namna Moja au nyingine wanaume wengi...
Ni hata mjikute warembo vipi, mna pesa kiasi gani lakini ndoa ni jambo mnalolihitaji tu. Ehee, haya tupe plan yako B endapo mabaharia tumeamua kukususa?
Jumatatu iliyo nzuri.
Binafsi si date na mtu mwenye hulka za makundi makundi au mashosti. Nishapiga wengi sana chini as I realised ni watu wa makundi makundi!
Mwanamke organized hawezi kuwa na...
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.
Kabla...
Wakuu
Nimetafakari sana , wanawake wana danga sana kutokana na sisi wanaume na wavulana kuhonga honga hovyo wanawake, unakuta kijana anapigika anapata kakipato kiduchu kama posho ya kibarua kwa...
Habari zenu wakuu.
Lengo moja kuu la kuoa/kuolewa ni kukulinda wewe mwanandoa na Magonjwa kwenye maisha yako.
Unapokuwa kwenye ndoa kula kavu ni suala la kawaida na ni jambo la msingi katika...
Hi guys, Hope mko na weekend poa...!!
Naomba niulize hili swali hasa kwa wababa wenye wako na watoto wa kike..!!
Nina rafiki yangu mmoja mrembo, niliwahi fanya naye kazi pahala flani miaka flani...
There's this girl, she's not my girlfriend but she holds a special place in my heart. It's both thrilling and terrifying to admit that she has captured my thoughts and emotions in a way no one...
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana.
Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure.
Na sitaki mtoto wangu...
Dear babe,
Nothing scares the shit out of me like the thought of 'what we have was never meant to be', been craving, dreaming and fighting for whatever little thing left in us but the naked truth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.