naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 2,042
- 4,732
Habari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na mengi aliyonifanyia niliyavumila na kila cku nlikua nikiamini ipo cku atakuja kujua ni kiasi gani nampenda na thamani nnayompa maishani mwangu lakini kumbe ilikua ni kutwanga maji kwenye kinu badala yake niliambulia ma2si,dharau na manyanyaso ya kila aina ila kwa jinsi nilivyo kichwa ngumu bado nlijipa moyo ipo siku atabadilika. Ila kubwa kuliko ni hii nimekuja ana wanawake kila kona ya mtaa na mmoja wao ana mimba kubwa ya kujifungua na hana analomjali kwa lolote na nlipomuuliza cna nlichoambulia zaidi ya majibu ya karaha.Roho inaniuma adi natamani nipotee katika ulimwengu huu napitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu mwenzenu cjawai kuwaza kama mapenzi yanauma kiasi iki. nachomshukuru mungu nimepima na kugundua nipo sawa namuomba mungu 2 nieze kumsahau kwani naona kila cku znzvyozidi kwenda maumivu ndo yanazidi wala cpati haueni!